kizaizai
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 5,651
- 6,966
Barclays nayo ishakufa, anabaki na share ndogo ABSA. Barclays sasa inabadilishwa kuwa ABSA.NBC mwekezaji mkubwa ni Barclays kupitia ABSA. Hii Benki mpya itamilikiwa kwa 💯 na serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barclays nayo ishakufa, anabaki na share ndogo ABSA. Barclays sasa inabadilishwa kuwa ABSA.NBC mwekezaji mkubwa ni Barclays kupitia ABSA. Hii Benki mpya itamilikiwa kwa 💯 na serikali
Lazima watu walambishwe sakafu
NMB Bank Plc Stock Ownership
Rank Name of Owner Percentage Ownership
1 Rabobank of theNetherlands 34.9
2 Government of Tanzania 31.8
3 Private Investors via DSE 25.0
4 National Investment Company Limited (NICOL) 6.6
5 TCCIA Investment Company Limited 1.7
6 TOTAL 100.0
Serikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali.
Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial Bank.
Inatokana na kuunganishwa kwa Benki ya Posta, Tanzania Postal Bank, Tanzania Investment Bank na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Tanzania Agricultural Development Bank.
Mchakato unafanyika kimyakimya chini ya uratibu wa Bank of Tanzania.
Kaeni tayari kwa hiki kitu kipya.
Hii itakuwa safi sana!Serikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali.
Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial Bank.
Inatokana na kuunganishwa kwa Benki ya Posta, Tanzania Postal Bank, Tanzania Investment Bank na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Tanzania Agricultural Development Bank.
Mchakato unafanyika kimyakimya chini ya uratibu wa Bank of Tanzania.
Kaeni tayari kwa hiki kitu kipya.
NBC haikuuzwa, ABSA hawakutoa hata senti moja kuinunua NBC. TZS 11 billion zilizoinunua NBC Ni NMB ambao walizitoa.Bujibuji,
NBC waliiuza sasa wanaunda nyingine, akija Rais mwingine nae ataiuza
NBC mwekezaji mkubwa ni Barclays kupitia ABSA. Hii Benki mpya itamilikiwa kwa [emoji817] na serikali
Sijakuelewa inamaana NMB ilikuwepo kabla NBC haijauzwa?NBC haikuuzwa, ABSA hawakutoa hata senti moja kuinunua NBC. TZS 11 billion zilizoinunua NBC Ni NMB ambao walizitoa.
Miongoni mwa vitu vya kipumbavu alivyowahi kufanya Mr. Clean ni hili sakata na NBC na ABSA
Nmb ilishabinafsisha
Kama ambavyo tunalazimishwa watumishi wa umma kuwa line za TTCL ndivyo tutakavyolazimishwa kuwa na account kwenye hili Benki la kifisadi, na tunalazimishwa mishahara yetu ipite hukoSerikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali.
Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial Bank.
Inatokana na kuunganishwa kwa Benki ya Posta, Tanzania Postal Bank, Tanzania Investment Bank na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Tanzania Agricultural Development Bank.
Mchakato unafanyika kimyakimya chini ya uratibu wa Bank of Tanzania.
Kaeni tayari kwa hiki kitu kipya.
Kama ambavyo tunalazimishwa watumishi wa umma kuwa line za TTCL ndivyo tutakavyolazimishwa kuwa na account kwenye hili Benki la kifisadi, na tunalazimishwa mishahara yetu ipite hukoSerikali imerudi kwa kasi kwenye Biashara mbalimbali, na Sasa inakuja na Benki kubwa ya kibiashara Tanzania ambapo itamilikiwa kwa 100% na serikali.
Benki itaenda kwa jina la Tanzania Commercial Bank.
Inatokana na kuunganishwa kwa Benki ya Posta, Tanzania Postal Bank, Tanzania Investment Bank na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania, Tanzania Agricultural Development Bank.
Mchakato unafanyika kimyakimya chini ya uratibu wa Bank of Tanzania.
Kaeni tayari kwa hiki kitu kipya.
Jicho la mpumbavu huona upumbavu
Unafahamu NMB imeanzishwa lini na NBC iliuzwa lini?Sijakuelewa inamaana NMB ilikuwepo kabla NBC haijauzwa?
Huwa nikiangalia majengo ya NBC maeneo mbalimbali ya nchi naumia sana
CRDB,NBC yale yake ya Maduka ya fedha