Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Niemeishi kwenye container Kwa muda maisha mazuri sana kama umeme haujakatika😹😹Mnakaribishwa kujichukulia konteina zuri na la kisasa piga namba hapo juu au tuma ujumbe kupitia WhatsApp
View attachment 3124395
Tsh. 4.5M ndio shilingi ngapi mkuu?Sisi ni wauzaji wa Makonteina bora na ya kisasa.
Tuna makonteina Ft 20 na Ft 40.View attachment 3123216
Bei za 20Ft ni hizi:
Grade A: Tsh 4.5M
Grade B: Tsh 4.3M
Grade C: Tsh 4M
Tupo kurasini DSM
Mawasliano :
0625 085 224 -normal &_WhatsApp
Million nne na laki tanoTsh. 4.5M ndio shilingi ngapi mkuu?
Niemeishi kwenye container Kwa muda maisha mazuri sana kama umeme haujakatika😹😹
Tsh. 4.5M ndio shilingi ngapi mkuu?
Bei zako rafiki sana, kipindi natafuta container huwa hazipatikani. Ila ukiwa huna mpango nazo ndio zinakuja tena za bwelelee.Sisi ni wauzaji wa Makonteina bora na ya kisasa.
Tuna makonteina Ft 20 na Ft 40.View attachment 3123216
Bei za 20Ft ni hizi:
Grade A: Tsh 4.5M
Grade B: Tsh 4.3M
Grade C: Tsh 4M
Tupo kurasini DSM
Mawasliano :
0625 085 224 -normal &_WhatsApp
OK pole na hongera endelea kupambana hizo zote ni hatua za utafutaji Mungu akufanyie Taufiq wewe na familia yako.
Ni kazini mkuu Wala huwezi jua ukishaingia mle ndani Kila kitu kimo. Pazuri kuliko nyumba za uswahiliniOK pole na hongera endelea kupambana hizo zote ni hatua za utafutaji Mungu akufanyie Taufiq wewe na familia yako.
Utatupigia kaka tutaongea vizuri ukiwa tayari .NAtaka nitengeneze kaghorofa cha container ngoja nije kunua hv usafirishaji kwa mfano toka hapo hadi iringa imekaaje
Bei zako rafiki sana, kipindi natafuta container huwa hazipatikani. Ila ukiwa huna mpango nazo ndio zinakuja tena za bwelelee.
Unayo muda wote ? Au huishaKweli mkuu bei zetu ni rafiki Sana .
Unayo muda wote ? Au huisha
sawa mkuuUtatupigia kaka tutaongea vizuri ukiwa tayari .