Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
- Thread starter
-
- #21
Yes zipo tunauza Kwa gradeBei kwa feet 40?
Na kazia hapa tupe bei mkuuMbona hujaweka bei au ww ni dalali?
Hapana mkuu bei zipoMbona hujaweka bei au ww ni dalali?
Bei za ft 40?Hapana mkuu bei zipo
Unahitaji konteina za ukubwa gani kuna futi 20 na futi 40
Futi 20
Grade A 4.5 Million
Grade B 4.3 million
Grade C 4.. Million
Ila ukinunua grade C kuna punguzo badala ya 4 million utapata Kwa 3.9
Karibu , napatikana kurasini Dsm.
Waweza nipigia au kunitumia ujumbe mfupi WhatsApp Kwa namba 0625 085 224
Hizi mbona ni conte. Mpya?Karibu ujipatie konteina kwa bei ya punguzo .
Zipo konteina za futi 20 na futi 40
Konteina zote zipo katika hali nzuri
Mawasliano 0625 085 224
NORMAL CALL &WHATSAPP
Tupo kurasini -DARESALAAM
View attachment 3127244
Bei za 40 ftBei za ft 40?
H
Hizi mbona ni conte. Mpya?
Na gharama za usafirishaji mfano kutoka dar to mbeyaBei za 40 ft
Grade A 7.5 million
Grade B 7.3 million
Grade C 7 million
Karibu konteina zote zipo katika hali nzuri Sana .
BeiSisi ni wauzaji wa Makonteina bora na ya kisasa.
Tuna makonteina Ft 20 na Ft 40.View attachment 3123216
Futi 20 na Futi 40 zipo Kwa grade kuna
👇🏾
Grade A:
Grade B:
Grade C:
Tupo kurasini DSM
Mawasliano :
0625 085 224 -normal call &_WhatsApp
Karibuni Sana.