Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
- Thread starter
-
- #101
Mkuu weka na beiya kila grade, tujipange ama tuchukue hatua ya manunuzi.
Sema hapa hapa, mfano kutoka hapo kurasini mpaka mbagala ni bei ya mteja au kampuni...n.k
πππJapo bei huwa zinashuka na muda mwingine kupanda Ila Kwa sasa bei za futi 20 zipo Vivi
Grade A utapata Kwa 4.5
Grade B utapata Kwa 4.3
Grade C utapata Kwa 3.9-3.8
Grade D hizi zimebaki mbili tu Kwa sasa utapata Kwa 3.6
Unataka nunulia?napenda sana zile pimped contenq
Ili kupata wateja wengi mngetumia free delivery au share cost ya deliver kwa sababu watu wengi wanaogopa gharama za usafiri...Gharama za usafirishaji analipia Mteja tunachofanya sisi ni kukutafutia gari ambalo litakuwa na gharama nafuu zaidi.
Yah maisha ya kuishi hum nayakubali sana sanaUnataka nunulia?napenda sana zile pimped contenq
Wewe ni mpuuzi sana aisee na bila shaka haujawahi kufanya biashara yeyote ile hivi kwa akili yako unadhani kusafirisha mizigo kwamba kuna bei iliyoganda kama kondom tu? Hivi kwanini munakuwa wajuaji kiasi hiki wajinga ninyi?Sisi watanzania tu a mapungufu kadhaa kwenye shughuli zetu za kila siku. Hatuwi serious na kile tunachofanya.
Mfano wewe ni Muuzaji wa makontena sijui una uzoefu kiasi gani lakini unapaswa kukijua kitu nje ndani.
Kabla Mteja hajauliza wewe unakua tayari unajua gharama ya kusafirisha angalau hata kwa makadirio tu.
Sasa anakuuliza wewe unauliza tena et 20 kwa 40?
Kwanini hujui bei ya kusafirisha kwa aina zote za makontena?..Kwa nini hujui magari au kampuno gani zinaweza kusafirisha na destination zipi?
Unapaswa kutwambia mtu akinunua Dar kwenda Tabora inaweza kumgharim mathalani laki tano. Akienda Mbeya mathalani laki 6. Na ukampa na connection namna ya kusafirisha kw urahisi. Hapa watu wana hamu ya kununua lakini wanapata wasi wasi namna ya kuwafikia.
Ili kupata wateja wengi mngetumia free delivery au share cost ya deliver kwa sababu watu wengi wanaogopa gharama za usafiri...
Ona sasa unawaza kondomuπ π πWewe ni mpuuzi sana aisee na bila shaka haujawahi kufanya biashara yeyote ile hivi kwa akili yako unadhani kusafirisha mizigo kwamba kuna bei iliyoganda kama kondom tu? Hivi kwanini munakuwa wajuaji kiasi hiki wajinga ninyi?
πΉπΉπΉ
Mwanangu una nongwa kichizi yan ππΉπΉπΉ
Shemeji mi napita tyuuu.!!
Naona unaota mwenyewe
Umeamka shem? πMwanangu una nongwa kichizi yan π