Karibu "rafiki yangu" military genius General Paul Kagame

Yewe winyenzi! Yaani eti watu awakupiga kelele wakati wa kubadirisha katiba! Pole sana nyie wasaka matonge wa madikteta
 
..huyu Jenerali wa Kitanzania ndiye kiboko ya askari wa Kagame na vibaraka wake wa M23.



JK nikuulize swali ambalo nina hakika kwa experience yako unaweza kuwa na ABC.

How tumefanikiwa sana ukanda huu na Africa in general kuwa na JWTZ imara, madhubuti na kitu pekee kinachofanya tuogopwe lakini tumeshindwa kutengeneza wanasiasa wazalendo na wakweli?

Jeshi la Ulinzi halijawahi kutetereka lakini kwenye siasa tumefeli na kuzalisha mafisadi au mifumo ya kifisadi. Why mifumo imetupa Jeshi imara na siasa dhaifu?
 

Kutengeneza wana siasa wazalendo imekuwa kazi sababu chama cha siasa chenyewe kina wa corrupt before hawajafika to the maximum
 
Maelezo meeengi lakini umeshindwa kujua vitu rahisi tu kwamba huyo hana ubavu wowote ni kibaraka wa mabeberu ndo wanaomlinda na kumpa nguvu kwakuwa wana maslahi naye ukanda wa Congo DR.
 
Sidhani kama Paul kagame anapita humu. Mwandikie hata barua, i-adress ubalozi wa Rwanda Dar es salaam.
 
Kagame is a notorious murderer. He's the agent of disunity and destabilization in the Great Lakes region, a seasoned looter of DRC's natural resources.

When he's gone, which is about to happen sooner that he tends to think; I can't see how Rwanda will remain intact or stable...Well, God forbid, another genocide and revenge murders could ensue.

Rwanda kunafukuta, PK anatumia nguvu na propganda kubwa sana kujenga na ku project taswira ya Rwanda hasa nje ya mipaka "mafanikio" ambayo si halisi bali maigizo.

Time will tell.
 
Hapoo Nengungu hapooo😂😂😂
 
Rwanda ni chuo cha ukandamizaji wa Uhuru wa maoni, uuaji wa WAKOSOAJI, ukandamizaji demokrasia na upikaji wa takwimu. Na huko ndiko Mwendazake alijifunza yote including kununua ndege kwa cash. Kisha Kagame akamdhulumu commission ya 10%. Hatuna cha kujifunza Rwanda
 
O
Ok ok okay,nakupigia baadae kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…