Karibu "rafiki yangu" military genius General Paul Kagame

Nlitaka kusema hujaweka namba ya simu kumbe ulikumbuka. Kuna fursa so ni kuchangamkia. Uchawa unalipa sana kwa sasa.
 

Sisi tunafikiria kupiga deals na kurithisha watoto wetu mali zote hata zisizo za kwetu. Tutafika, ila tumechoka sana
 
Kama Kagame unamuita military genius,Yevgen Prighozin utamuitaje mkuu!?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 

..baada ya Magufuli sina imani na chombo chochote cha ulinzi na usalama.
 
Hakuna nchi yenye siasa dhaifu ikawa na jeshi imara.....

Siasa ya Tanzania ni imara ,ya kipekee yenye kukataa uongo wa kiliberali kwenye mambo yasiyohitaji "uongo wa kiliberali"....wasiolewa wanaiona siasa dhaifu.....

#ZidumuFikraZaBabaWaTaifa
#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
ukisoma hii makala utahundua haina lolote,zaidi ya kutaka kutufahamisha kwamba na wewe ni mwanajeshi uliyesomea hapo monduli,huu ni ugonjwa mbaya sana wa kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…