Karibu "rafiki yangu" military genius General Paul Kagame

Kama binadamu ana mazuri yake nayo....

Mgeni wetu El Comandante Kagame amedhibiti UHOLELA WA NYUMBA ZA IBADA.....MISIKITI NA MAKANISA YA KIHOLELA ....kwa Jenerali Kagame hakutokei haya ya akina McKenzie......

#Mgeni Karibu Nchi Bora Tanzania
#ZidumuFikraZaNyerere
#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ushawahi kukaa rwanda na unazijua sifa za siasa za rwanda.Na unajua military back up ya RPF?????????
 
Usimpe sifa askari muoga,anayeogopa kwenda frontline,yupo tofauti sana na Kanali Habriymana au swaiba wake General Mobutu.Afande PS ni kiongozi anayetumia turufu ya ukabila kukaa madarakani,nani kakuambia wanyarwanda wote wanampenda??????.Siku serikali ya Tanzania na Uganda zitakaporuhusu wakimbizi wa kinyarwanda wafuasi wa NRMD,RDA,PRA,MMDR.Wakiongozwa na mabaki ya majenerali wa FAR waweke kambi za kijeshi na kuanza kufanya training,bas ujue RPF wamefikia mwisho.Ni kama ambavyo mwaka 1988 serikali ya Uganda ilivyoruhusu RPF waweke kambi za training na huo ndio ulikua muanguko wa FAR na Kanali Habriymana.
 
Mabangi haya bana! Mtu anaongoza kawilaya anasifiiiwa humu umwangalie siku nzima siUtoto huo hunakazi unasifia kichawa sana. Jifanye Wewe mkubwa kwanza kabla ya kujidai utaifanya Tz kubwa
 
Mkuu ushawahi kukaa rwanda na unazijua sifa za siasa za rwanda.Na unajua military back up ya RPF?????????
Kwa sasa Rwanda imewekeza mno kwenye ulinzi hasa za kiteknolojia kama drones, howitzers za kutosha, hata RDF ni moja ya majeshi bora ukanda huu, rejea mission yao hapo Msumbiji walivyofanikiwa kuwarudisha nyuma wale magaidi.

T14 Armata
 
Wacongo wamshukuru Kagame, aliwaondolea lile dikteta lililokuwa linawaua kama kuku kwa karibu miaka 40 huku likisomba mali kupeleka kwa wazungu, lakini wacongo wamekalia uchawi, ukabila na kucheza ngoma tuu, leo yanauana kuliko wakati wa Mobutu kwa ajiri ya ukabila, na kisingizio chao ni kimoja tuu Kagame, congolese waache ukabila na ujinga wataishia kumalizana
 
Mabangi haya bana! Mtu anaongoza kawilaya anasifiiiwa humu umwangalie siku nzima siUtoto huo hunakazi unasifia kichawa sana. Jifanye Wewe mkubwa kwanza kabla ya kujidai utaifanya Tz kubwa
Huna idea unachoongea, unaijua Rwanda? mbona Belgium ndogo kuliko Rwanda lakini ni tajiri kuliko nchi zote za Africa, ukubwa wa eneo sio issue
 
Pandikizi la Kinyarwanda linaposema lina ramani ya Tanzania yake
 
I love this person kwa msimamo wake kwa kweli!
Lakini alituchapa michuzi yetu
Atarudisha tu walahi![emoji2959]
 
Kwa sasa Rwanda imewekeza mno kwenye ulinzi hasa za kiteknolojia kama drones, howitzers za kutosha, hata RDF ni moja ya majeshi bora ukanda huu, rejea mission yao hapo Msumbiji walivyofanikiwa kuwarudisha nyuma wale magaidi.

T14 Armata
Mkuu kuhusu msumbiji,mbona kazi kubwa ilifanywa na JWTZ walienda kule kimya kimya kabla hata ya RDF na maamuzi ya SADC...!!!Pia mkuu ubora wa jeshi haupimwi kwa vifaa bali ufanisi kwenye uwanja wa mapambano kama walivyofanya JWTZ kule Goma.Hata FAR walikua na silaha bora ila walipinduliwa na RPF mwaka 1994
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…