Karibu "rafiki yangu" military genius General Paul Kagame

Mkuu umewahi kukaa DRC toka watusi wa banyamulenge wamsaidie kabila kuchukua madaraka na hali ya kivu kusini na kivu kaskazini baada ya mobutu unaijua?????.Una hakika wacongo wanawashukuru watusi.Nolikua kisangani wakati majeshi ya mobutu yamezidiwa na kukimbia,walichokifanya hawa banyamulenge na waganda hata mzee kabila hakufurahishwa nacho kabisa.
 
Kwa sasa Rwanda imewekeza mno kwenye ulinzi hasa za kiteknolojia kama drones, howitzers za kutosha, hata RDF ni moja ya majeshi bora ukanda huu, rejea mission yao hapo Msumbiji walivyofanikiwa kuwarudisha nyuma wale magaidi.

T14 Armata
Rwanda ina jeshi standard kidogo kulingana na priorities zake. Silaha zao kadhaa zina uwezo ila kama kawaida yao wananunua kwa namba kidogo kutokana na bajeti yao ndogo. Pia hawana airforce.

Na hilo jeshi linaloonekana bora uko Msumbiji ni kwa vile wanatuma contingency ya wachache na kuipa best gears. Ukiingia nao vita watatoa kila kitu na uniform mbovu mbovu na armours zilizochoka. Missions zao ni PR sana.

Ila wako battle hardened kuliko majirani zao na preparedness yao huwa naamini iko juu
 
Subiri siku atakapo anza kudai Ngara ni sehemu ya Rwanda na Wahangaza ni Watutsi wanaoteswa Tanzania Kama ilivyo Congo ya Kivu na Wanyamulenge.
 
Ww ni SAKALA kweli kweli. Hujui ulinenalo ndio maana hata Jina Unatumia la Marehemu Brazza rafiki wa familia yetu Mwandishi wa Habari wa zamani ITV na Radio One. R.I.P Michael Uledi. Tulikupenda Sana lakini Mungu alikupenda zaidi.
 
Acha ujinga mbuzi wewe, hamna hati miliki na hilo jina na wako wengi sana with the same name
 
Congolese waache kumsingizia Kagame matatizo yao kwa ajiri ya banyamurenge , vipi sasa ambapo kuna makundi zaidi ya 20 yanapigana ndani ya Congo based kwenye ukabila? ukabila unawamaliza wacongo waache kusingizia Rwanda, walishatoka huko miaka mingi sana na walikuwa na kila sababu ya kuivamia Congo, na banyamurenge wana kila haki ya kujitetea maana congolese wameshalishwa sumu wale ndio wabaya wao, kwa nini kabla ya interahamwe kuingia Congo haujawahi kusikia banyamurenge? nina uhakika unajua sababu
 
Mkuu unawajua wanyarwanda waliolowea kwenye milima ya mulenge na tabia zao na ajenda zao na hulka zao????? Au unaongea mitazamo ya mitandaoni mkuu???
 
Mkuu unawajua wanyarwanda waliolowea kwenye milima ya mulenge na tabia zao na ajenda zao na hulka zao????? Au unaongea mitazamo ya mitandaoni mkuu???
Banyamulenge wapo Congo tangu miaka ya 1800 bado mnawaita walowezi, na hizi story za ajenda au hulka ndio ukabila wenyewe huo, walianza na banyamulenge leo zaidi ya makabila 20 yanachapana, ukabila utawaliza wacongo na idea ya kuwafuta banyamulenge will backfire kama interahamwe wa Rwanda
 
Mkuu hakuna watu wanaitwa banyamulenge,,,,,,,hiyo ni milima ya mulenge wale ni banyarwanda...Issue sio banyarwanda ndani ya congo,bali issue ni banyarwanda wenye ajenda za WAHIMA za kutaka kutawala jamii nyingine na kutawala eneo lote la maziwa makuu.Hawana tofauti na sera za INTAREHAMWE AU INYENZI
 
Mashariki mwa Congo DRC hakuna makabila ishirini yanachapana.....yataje kama yapo mkuu
 
Kumbe na wewe unaamini huu ujinga wa Hima empire, huu mjadala uishe,asante
 
Mk
Kumbe na wewe unaamini huu ujinga wa Hima empire, huu mjadala uishe,asante
Mkuu wewe unaongea issue za kusimuliwa mtandaoni ila mimi mtusi najua nachoongea...Nadhani hujui chochote kuhusu banyarwanda mkuu....Kuna swali nilikuuliza ukalikwepa kuhusu hayo makundi zaidi ya 20 yanayopigana DRC
 
Wala sio 20 walioko huko wanadai ni zaidi ya 120
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…