Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Acha uchoookor kamanda....tumchangie mwenyekiti kamanda.....Pole sister angu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uchoookor kamanda....tumchangie mwenyekiti kamanda.....Pole sister angu
Nasikia kuna kontena limebeba shanga zinaletwa Tanga toka PembaNenda ukalewe ..Sisi tuna race yetu wala hatuwajui kwa hiyo mambo ya huku hayakuhusu, tuliza kibox manyoya !
Dada angu unanipa raha snAcha uchoookor kamanda....tumchangie mwenyekiti kamanda.....
Ha ha ha ha huyo hobobo huyo zwazwa hana adabu ,utu wala akili... namfahamu ni ndwanye mmoja tu .....Nenda ukalewe ..Sisi tuna race yetu wala hatuwajui kwa hiyo mambo ya huku hayakuhusu, tuliza kibox manyoya !
Kumbuka hata kupiga mswakiNasikia kuna kontena limebeba shanga zinaletwa Tanga toka Pemba
sio meno kama karanga zilizokaangwa na mchanga.Nasikia kuna kontena limebeba shanga zinaletwa Tanga toka Pemba
Wewe wale "funza" waliotokana na tabia zako wameshafika katika CEREBRAL CORTEX....nilikukanya kuwa tabia hizo ni dhambi... matokeo yake ndiyo hayo unadhani kila mmoja ni kama wewe ....tumchangie mwenyekiti kamanda.....Nasikia kuna kontena limebeba shanga zinaletwa Tanga toka Pemba
Ha ha ha ha huyo mpododo kazi anayo leo....Kumbuka hata kupiga mswaki
sio meno kama karanga zilizokaangwa na mchanga.
Hahaha sister ndiyo maana mchaga hawezi kuoa mwanamke kutoka Tanga sababu ya uvivu wenuKumbuka hata kupiga mswaki
sio meno kama karanga zilizokaangwa na mchanga.
UWT mpo Tanga nowWewe wale "funza" waliotokana na tabia zako wameshafika katika CEREBRAL CORTEX....nilikukanya kuwa no dhambi... matokeo yake ndiyo hayo unadhani kila mmoja ni kama wewe ....tumchangie mwenyekiti kamanda.....
Mvivu inakuhusu nn ? Mbona mambo ya kihanithi kujipa umuhimu kwenye maisha yetu , yule Barbana mbona hajaoa muoza meno ? Jamaa unajishtua huku kwetu hamna ishu kama hujui .Hahaha sister ndiyo maana mchaga hawezi kuoa mwanamke kutoka Tanga sababu ya uvivu wenu
CCM ya Tanga Ina UMOJA WA WANAWAKE TANZANIA ,UMOJA WA VIJANA na JUMUIYA YA WAZAZI....UWT mpo Tanga now
Ha ha ha haMvivu inakuhusu nn ? Mbona mambo ya kihanithi kujipa umuhimu kwenye maisha yetu , yule Barbana mbona hajaoa muoza meno ? Jamaa unajishtua huku kwetu hamna ishu kama hujui .
Kiufupi ssisi ni race tofauti na nyie hatujawahi kuwakubali kwa namna yoyote ile
Ha ha ha ha ha ha ila si wote mkuu wangu.....kila mtanzania aliyestaarabika anaijua thamani ya Tanzania na thamani yetu sisi wananchi wake....Wajinga hao hata hicho chama chao hatukitaki pale mkoani kwetu ,kule ni CCM na CUF ... Hatuwez kuongozwa na ujinga wao ,kwanza tunataka kujitoa kanda yao ya kaskazini tuwe sehemu ya Dar es salaam siwezi kwenda Arusha kufuatilia ishu zangu ni ujinga.
Mwenyekiti TL achangiwe kamanda.... kamanda tutoe fedha tukiokoe chadema....kinaelekea kufa kamanda......Dada angu unanipa raha sn
Nyie mpendeni tu ila mtabaki hapo hapo na mahaba yenu 😂😂😂😂Karibu Tanga Bi Mkubwa, hapa ndio nyumbani nyumbani kwa wadigo na wabondei, hapa ndio nyumbani kwa wasambaa na wazigua.
Karibu Tanga kwasababu ina watu wasiojua vurugu, ina watu wasiopenda shari na ina watu wakweli, karibu tanga kwasababu unapendwa huku, najua umesikia sifa zetu za mapenzi na namna tunavyojua kupenda, ila kwa sasa tumeamua kukupenda wewe peke yako mama.
Karibu bimkubwa, ninakuahidi kuuona upendo ambao hujawahi kupewa na wanatanga, ni matumaini ziara yako itakuwa yenye mafanikio kwa wanatanga, karibu Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Asipendwe kwanini mkuu ?!!Nyie mpendeni tu ila mtabaki hapo hapo na mahaba yenu 😂😂😂😂
Maendeleo hamna mnakazania kumpenda nyie mpendeni tu wakuuAsipendwe kwanini mkuu ?!!
Mimi sikai Tanga mkuu....Maendeleo hamna mnakazania kumpenda nyie mpendeni tu wakuu
Umeongea mengi mno kwa kujikita katika tabia za vijana wa Tanga....sasa CCM ndio iliyowafanya wawe na tabia hizo ?!!Mmeletewa miradi wa Bomba la Mafuta cha ajabu Tanga hakuna vijana wallioenda shule wanaaoweza kucompete na soko la ajira, Mbunge wenu yupo hamumwambii hata awasaidie special programes za vijana ili walau operation ikianza basi muweze hata kupata ajira.
IT zinatoka hapo zinakwenda DRC, Burundi, Malawi, bonded Dar es salaam vijana wa Tanga mnapiga soga na hizo kazi zinafanywa na vijana wa temeke na kurasini Dar.
Bandari imeanza kuchangamka lakini wenyeji ni kama hawajui kinachoendelea wageni wanakuja wanapiga mishe wanaondoka.
Uchumi Tanga uko kwenye mikono ya wahindi, waarabu, wachaga, wapare na wasambaa wenyeji mmegeuka kuwa wapambe/machawa na makuwadi wa waarabu na wahindi kazi hakuna.
Mzunguko wa hela hakuna, wenyeji hawana direction ya maisha, vijana wadogo wakike na wakiume wamekaa majumbani hawaendi shule na hakuna muamko wakupeleka watoto shule au kuwekeza kwenye elimu, matokeo yake mabinti wengi wadogo wamebaki kujiuza hapo maeneo ya chichi, Sabasaba, Benbistro na wengine wanatega Tanga beach resort.
Sidhani kama mna sababu yeyote yakuishabikia CCM Tanga, maana CCM ndio imeua uchumi wa Tanga na hakuna juhudi zozote strong kuifanya Tanga kuwa strong economically kupitia resources zake.