Karibu Tanzania nchi yenye mizaha sana

Karibu Tanzania nchi yenye mizaha sana

idiomer

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
289
Reaction score
342
Ukianzia Elimu
Kilimo
Afya
Sekta ya usafirishaji

Katiba na sheria

Elimu mtoto analipiwa na bodi ya mikopo 1M ila hela ya kujisajili 50k
Inamfanya asifanye mtihani

Mtaala mpya wa Elimu sekondari vyuoni mtaala wa zamani

Kilimo
Kilimo kwanza, ikafa , Build Better Tomorro ikafa

Afya
Bima kwa kila mmoja kizungumkuti

Usafirishaji
Bandari ya nchi kavu ikikamilika foleni imeisha daah cha ajabu malori kila kona.

Katiba na sheria
Siku 100 za kwanza baada ya kuapishwa mchakato unaanza
Katiba inayojali wananchi inatakiwa ( July 24 2026)

Nishati
Tutauza umeme nje
Gesi ya Mtwara kila nyumba itawekewa tutaanza Dar mitung basiii . Taasisi zote za serikali mwisho lini kutumia nishati yenye madhara na kuanza nishati safi

Fedha
Yaani benki zinaendeshwa na mikopo ya watumishi wa umma. Wakisema wahame kwishaaa
Unatoa gawio serikalini kwa kunyonya watumishi??? Yaan mkopo 10M unalipa riba 8M ????
 
Ha ha ha magaidi hawafai wafungwe watatukosesha wawekezaji
 
Daah inauma sana wananchi tupambane kwa kweli
 
Ukianzia Elimu
Kilimo
Afya
Sekta ya usafirishaji

Katiba na sheria

Elimu mtoto analipiwa na bodi ya mikopo 1M ila hela ya kujisajili 50k
Inamfanya asifanye mtihani

Mtaala mpya wa Elimu sekondari vyuoni mtaala wa zamani

Kilimo
Kilimo kwanza, ikafa , Build Better Tomorro ikafa

Afya
Bima kwa kila mmoja kizungumkuti

Usafirishaji
Bandari ya nchi kavu ikikamilika foleni imeisha daah cha ajabu malori kila kona.

Katiba na sheria
Siku 100 za kwanza baada ya kuapishwa mchakato unaanza
Katiba inayojali wananchi inatakiwa ( July 24 2026)

Nishati
Tutauza umeme nje
Gesi ya Mtwara kila nyumba itawekewa tutaanza Dar mitung basiii . Taasisi zote za serikali mwisho lini kutumia nishati yenye madhara na kuanza nishati safi

Fedha
Yaani benki zinaendeshwa na mikopo ya watumishi wa umma. Wakisema wahame kwishaaa
Unatoa gawio serikalini kwa kunyonya watumishi??? Yaan mkopo 10M unalipa riba 8M ????
Ogopa sana kutawaliwa na watu wabinafsi, wasio na chembe ya uzalendo kwa nchi, matapeli, mafisadi, wapiga dili, wahuni, watu wenye uwezo mdogo wa akili na pia kufikiri! Haya yote ndiyo matunda yake. They don't care about your wellbeing.
 
Mkuu hii kama sio kaole ni muvi la kihindi.
 
Ogopa sana kutawaliwa na watu wabinafsi, wasio na chembe ya uzalendo kwa nchi, matapeli, mafisadi, wapiga dili, wahuni, watu wenye uwezo mdogo wa akili na pia kufikiri! Haya yote ndiyo matunda yake. They don't care about your wellbeing.
Hii ndo hali halisi ya Tanzania
 
Back
Top Bottom