Secondary!!!!!!!!sekondari mkuu wakati ule
nasikia mchaga wa Zanzibar!Huyu Nice siijui ni mchaga wa wapi? wakati yuko on top of the game,akiwa ziarani Europe, watu walimstua-aoe huku majuu hata ndoa feki apate residence ili mambo yakigeuka apate pa kuegemea,akajiona star akaringa-leo hii haeleweki-musicians wa Zaire hata wakiwa juu katika game uwa na ndoa za kuumpa residence ulaya-game likikataa uja ulaya kupata akili mpya
Na huyo nae Ni msanii? Mi sijawahi kumsikia.
Maliza shule kwanza..utamjua tuNa huyo nae Ni msanii? Mi sijawahi kumsikia.
Maliza shule kwanza..utamjua tu
Hahahahaaa hiyo biashara alianza lini mkuu?Karudi na wimbo gani?..Biashara ya kuku imemshinda?
Sijajua ameanza lini..Ila nilimsikia last month kwenye interview akisema ye mziki anaufanya kwa nyodo coz ana biashara nyingine zinazomuweka mjini..Akataja hiyo..Hahahahaaa hiyo biashara alianza lini mkuu?
Sina habari.
Hahahahaaa umenichekesha sana mkuuSijajua ameanza lini..Ila nilimsikia last month kwenye interview akisema ye mziki anaufanya kwa nyodo coz ana biashara nyingine zinazomuweka mjini..Akataja hiyo..
nilimuona TV ONE juzi kati anaongea kistaarabu sana na kujiamini,anasema anajishughulisha na kuku kwa sasaNaandika hili kwa furaha ya kweli kabisa ( in Magufuli voice) huyu msanii nilipendaga sana kazi zake ila baada yakuchezea mangumi mengi mfululizo ya dudu baya akapotea gafla.
Sasa karudi vizuri kweli kipaji hakipotei natafuta wimbo wako niununue
bata kapanda bodabodaWimbo wake unaitwaje?
KATIKA WATU AMBAO NIKISIKIA SAUTI ZAO NFURAHI NI GWAJIMAππππ"Kila kitu na majira yake' in gwajima's voice
Hahahaahabata kapanda bodaboda