incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
Habari wakuu.. niko na shida ya Box flan ivi. Ni box ambazo zinatumika kufungia apple.. zinakuwa na layer 2 ndani na nje pia zinakuwa na matundu matundu flan.
Wale wasambazaji wa Ma apple watakuwa wanajua aina hii ya Box kwa yoyote ambae anaweza kupata Box hizi kwa wingi hasa wale wanaofanya kazi kwenye superMarkets au popote ambapo zinaweza kupatikana kwa wingi Ani Dm tunaweza kufanya nae Biashara.
Box hizi zinatoka South Africa zikiwa zimepack Apples ko hata akipatikana mdau wa south Africa ambae anaweza kuzipata kwa wingi na uhakika aje PM tufanye Biashara.
Atakae nifuata inbox awe mtu anaejua upatkanaji wake tu.. Changamkieni fulsa.
Kijana asiye na ajira na mwaminifu anaweza kuitumia hii kama fulsa kwa kuzunguka maeneo Zinapouzwa Apple na akaomba hizo box kwa wingi kisha akaja PM tukafanya Biashara...
N.B kumbuka hizo ni box tu kwa hiyo ili upate faida nzuri na pesa nzuri lazima uwe na uhakika wa kuwa nazo nyingi atleast 100 na kuendelea.
Mawasliano njoo Pm