Karibu tufanye Biashara kama utapata haya material Kwa wingi

Karibu tufanye Biashara kama utapata haya material Kwa wingi

kipnd nakua nlkua na shemej angu n Bibi afya alkuja hom kutembea na kusalimia familia sjui alnionaje yule shem akasema kuna dil ukikusanya mifuko ile ya Rambo kipnd iko ukajaza gunia unalipwa 8000 ila iwe kuzunguka maeneo ya kwenu😂 kumbe alkua kaona mazngira n machafu jmos iyo nliokota mifuko mpka kwa majiran najaza kwenye limfuko lkubwa nkakusanya ya kutosha jtatu akambia aya ichome sasa nltaman kulia😂
😂😁😒🤣😂😁😁
 
Unaweza nunua alibaba or any Chinese site, search for cartoon fruit/apple storage boxes, very cheap na kuna wabongo wanafanya kazi ya kukusaidia kununua direct from china
 

Attachments

  • IMG_1015.jpeg
    IMG_1015.jpeg
    1 MB · Views: 17
Unachukulia 500 ni ndogo mkuu.. chukulia picha box 10000×500 ni shi ngap.. mostly watu wengi hamjui biasbara mnafikiri biashara yenye faida ni Biashara ya kuuza maelfu.. pasipokujua Key ya Biashara ni uwepo wa Bidhaa kwa wingi... na hakuna kitu kina profit kubwa kama hivyo vitu mnavyodharau.. na ndio maana wengi wenu bado mnakaa kwa wajomba zenu kisubiri miujiza ya biashara za mamilioni
Kama ni kiwanda hiyo bei haina shida, ila hapa ndo kuna shida
Kijana asiye na ajira na mwaminifu anaweza kuitumia hii kama fulsa kwa kuzunguka maeneo Zinapouzwa Apple na akaomba hizo box kwa wingi kisha akaja PM tukafanya Biashara...
kuzunguka kupata hizo box 1000 sio rahisi.
 
Kuna kiwanda cha kutengeneza boxes hapa jirani, unaweza kuleta sample wakakupa bei,
 
Back
Top Bottom