incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
Avatar yake au content?Inasikitisha sana
Kila kituAvatar yake au content?
afu ukute box moja unanunua mia tano 😆Kijana asiye na ajira na mwaminifu anaweza kuitumia hii kama fulsa kwa kuzunguka maeneo Zinapouzwa Apple na akaomba hizo box kwa wingi kisha akaja PM tukafanya Biashara...
Unachukulia 500 ni ndogo mkuu.. chukulia picha box 10000×500 ni shi ngap.. mostly watu wengi hamjui biasbara mnafikiri biashara yenye faida ni Biashara ya kuuza maelfu.. pasipokujua Key ya Biashara ni uwepo wa Bidhaa kwa wingi... na hakuna kitu kina profit kubwa kama hivyo vitu mnavyodharau.. na ndio maana wengi wenu bado mnakaa kwa wajomba zenu kisubiri miujiza ya biashara za mamilioniafu ukute box moja unanunua mia tano 😆
Kanuni ya biashara ni uchukuaji na uuzaji sio ukubwa wa bei ya bidhaa mkuu... hizo ni vitu za kutafta mda mwingine unaweza kuzipata hata bure tu ikiwa utapata sehem zinapopatkana kwa sababu ni vifungashio ambavyo vinakuja na Apple na mwisho wa siku zinatupwa kwa hiyo kijana ambae anateseka na ajira akitafta wapi anaweza kupata channel ya kuzikusanya hata walau box 100 kwa siku 3 hawez kukosa pesa ya kuendesha maisha yake....alafu hata kama kuna mtu yuko south Africa zinapotokea anawesa kuja inbox na tukafanya biashara... hata kama zipo tan 1 we leta tu. Ko usichukulie kila biashara katika mtazamo huo mkuu.. kila unachoona hakifai wapo wenzio wanakiona kama fulsa na kinaweza kumpeleka mtu mbali... mafanikio hayana fomular.Ukute unanunua kwa kilo, kilo moja jero.
Enewei tupe na bei mkuu, tujue tunaishije mjini apa.
Hata tan 10. Ni bei tu tuelewane kama unazoUnataka ngapi nikuunganishe
We jamaa box zinauzwa ujue!!!Kanuni ya biashara ni uchukuaji na uuzaji sio ukubwa wa bei ya bidhaa mkuu... hizo ni vitu za kutafta mda mwingine unaweza kuzipata hata bure tu ikiwa utapata sehem zinapopatkana kwa sababu ni vifungashio ambavyo vinakuja na Apple na mwisho wa siku zinatupwa kwa hiyo kijana ambae anateseka na ajira akitafta wapi anaweza kupata channel ya kuzikusanya hata walau box 100 kwa siku 3 hawez kukosa pesa ya kuendesha maisha yake....alafu hata kama kuna mtu yuko south Africa zinapotokea anawesa kuja inbox na tukafanya biashara... hata kama zipo tan 1 we leta tu. Ko usichukulie kila biashara katika mtazamo huo mkuu.. kila unachoona hakifai wapo wenzio wanakiona kama fulsa na kinaweza kumpeleka mtu mbali... mafanikio hayana fomular.
Wapo watu wanamaisha ambayo mnataman ila ukifuatilia michongo yao ww huwezi kufanya maana umejawa dharau na dhana potofu.
Atakae taka atakuja inbox
Na hata hivo sio kila aina ya Box ninayohitaji ni aina hiyo hiyo ya box tu.We jamaa box zinauzwa ujue!!!
Sijui kwa maeneo mengine ila hapa dar kinachotupwa labda ni kopo la maji ndio mtu anaokota na kwenda kupimisja ila box zinauzwa.
Ndio, wapo wasio na matumizi nayo na huyatupa ila maduka mengi huzikusanya na kuziuza.
Pale Ilala mchikichini kuna mashine wanazichakata na kutengeza box za zawadi,keki na nyingine zinasafirishwa.
Kwahiyo upatikanaji wake kwa dar unaweza kua mgumu kiasi ndio maana nikauliza kama kuna kakipato hapo.
Kila kitu ni mali mjomba, kalaghabaho.
Karibu kaka
Hayo ndo maneno.Na hata hivo sio kila aina ya Box ninayohitaji ni aina hiyo hiyo ya box tu.
Kwa hiyo hata kama zinauzwa ni ww kujua zinauzwaje then unichek uangalie kama kuna uwiano wa masrah kwako ndo hapo ndio itakuwa fulsa kwako ila kwangu ukipata box 100.. huwez kukosa kiwango chini ya 100k nakuendelea kama zina ubora
Ahh hizo bora niende kubeba zege bro
Nunua machine alibaba or any Chinese source ya kutengeneza hizo boxes ni rahisi sana, material zipo pia online au viwandani vya karatasi kwa localHata tan 10. Ni bei tu tuelewane kama unazo