incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,536
- 4,304
- Thread starter
-
- #21
Naomba nijue namna ya kuipata mkuuNunua machine alibaba or any Chinese source ya kutengeneza hizo boxes ni rahisi sana, material zipo pia online au viwandani vya karatasi kwa local
Uvivu wa kulima mboga mboga na kutembeza nyanya
ππππ€£πππkipnd nakua nlkua na shemej angu n Bibi afya alkuja hom kutembea na kusalimia familia sjui alnionaje yule shem akasema kuna dil ukikusanya mifuko ile ya Rambo kipnd iko ukajaza gunia unalipwa 8000 ila iwe kuzunguka maeneo ya kwenuπ kumbe alkua kaona mazngira n machafu jmos iyo nliokota mifuko mpka kwa majiran najaza kwenye limfuko lkubwa nkakusanya ya kutosha jtatu akambia aya ichome sasa nltaman kuliaπ
Just search box cutting/making machine zipo nyingi sana na material unayohitaji ni corrugated cardboard sheets nafikiri yanapatikana hapo Dar or you can import them kama ni serious business, anzia na alibabaNaomba nijue namna ya kuipata mkuu
Kama ni kiwanda hiyo bei haina shida, ila hapa ndo kuna shidaUnachukulia 500 ni ndogo mkuu.. chukulia picha box 10000Γ500 ni shi ngap.. mostly watu wengi hamjui biasbara mnafikiri biashara yenye faida ni Biashara ya kuuza maelfu.. pasipokujua Key ya Biashara ni uwepo wa Bidhaa kwa wingi... na hakuna kitu kina profit kubwa kama hivyo vitu mnavyodharau.. na ndio maana wengi wenu bado mnakaa kwa wajomba zenu kisubiri miujiza ya biashara za mamilioni
kuzunguka kupata hizo box 1000 sio rahisi.Kijana asiye na ajira na mwaminifu anaweza kuitumia hii kama fulsa kwa kuzunguka maeneo Zinapouzwa Apple na akaomba hizo box kwa wingi kisha akaja PM tukafanya Biashara...