Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukumbuki Onyango alivyowatia bao la kichwa?Hujasikia Onyango Ni Man of the Match huko Misri dhidi ya Al Ahly??niliposoma kwamba wawa na onyango ni mabeki bora nikaishia hapo baada ya kukumbuka onyango kupigiza upara chini na kutaka kumdaka miguu T.K master, nkakumbuka wawa alivyo channuliwa miguu kule Sudani nimecheka sana nkafunga na uzi