Karibu tujadili Ubovu wa Yanga kitaalamu.

Karibu tujadili Ubovu wa Yanga kitaalamu.

Yanga ni kikundi cha mpira na sio timu ya mpira bado muunganiko haupo kabisa japo kunawachezaji wanaviwango vikubwa ni kama vile makalio tu yako pamoja lakini katikati kuna mpaka.
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji85][emoji85][emoji85] heheeeee! Bongo sihami
 
Kuna mwana utopolo hapo juu anawabeza wawa na Onyango ,sijui ni uhafifu wa shule kichwani ,maana takwimu zipo waz kabisa au ana uhafifu wa kuona .

Anayeruhusu magoli mengi Zaid ya mwenzie huyo ndie ana beki mbovu.

Mwingine anakwambia yanga inaongoza ligi wakat simba ni ya tatu ,ila hapo hapo hasemi kuwa yanga ana point 51 na Simba ana point 46 na game nne mkononi.

Hiki kitu Cha kutaka kupambana na Simba ndicho kinawamaliza kimawazo na kiakil wachezaji na mashabiki kwa pamoja.

Msemaji wao anaulizwa juz una maoni gani juu ya mechi ya simba na as vita ,anakwambia hajui Kama Kuna mechi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ,wakat huo huo msemaji wa ruvu shooting anaiombea Simba ishinde dhidi ya As vita na anaonyesha waz upendo maana ni swala la kitaifa hili ,ndipo unagundua sasa wivu ,kutokubal kushindwa ,husda ndicho kinaitesa yanga .

Na Kuna hatar yanga akamaliza nafas ya tatu kabisa.
 
Sio kwamba Yanga hawana Timu nzuri...wana timu nzuri ila hawana Kikosi kikubwa chenye kupambana Msimu Mzima...
Kinacho tokea Leo ni matokeo ya kuwa na kikosi kidogo hakuna mbadala .....

Huwezi sema yanga hawana Timu nzuri lakini ukiangalia kwenye Mechi 25 Kapoteza mechi 1...
Timu nzuri sio kwamba haifungiki, bali yenye mipango na malengo yanayoonekana uwanjani bila makando kando.Timu yenye uwezo wa kujiuliza pindi ikitekeleza.

Mpira ni mchezo wa hadharani,km unajua unajua tu.Ukimuangalia mchezaji mmoja mmoja wa Yanga unaona kabisa ukosefu wa mbinu binafsi.

Leo Yanga ikiingia uwanjani huoni wanacheza wana lengo gani. Huoni mipango yoyote. Kwa timu bora iliyokamilika na inayojitambua kipindi km hiki ambacho ligi inaishia sare sio kitu cha kujivunia.

Jiulize katika mechi kumi zilizopita Yanga wameshinda mechi ngapi? Kwa timu yenye malengo ya kutwaa kombe sare 8 mfululizo ni ishara ya kupoteza mwelekeo labda kwa timu inayokwepa kushuka daraja.
 
Halafu Mimi sikuitaja Simba lakini anyway ngoja nikubaliane na wewe kwamba Ni Simba na swali ulilouliza ni invalid kwakuwa Simba haijafanya lolote dhidi ya Yanga.Simba imefungwa na Prison na Ruvu shooting na iko nafasi ta tatu,Yanga imefungwa mechi moja tu na coastal union na inaongoza ligi.Hapo unasemaje mkuu.
Simba ana viporo mechi nne akishinda mechi mbili anawapita, mnaongoza sababu simba ana viporo
 
Nchimbi ana mwaka na nusu yupo yanga halafu mnasema hajazoeana na wenzie Kweli? Labda bado hajazoeana na viongoz Kama wachezaj wenzie ashachezanao Sana
 
Back
Top Bottom