Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
- Thread starter
- #41
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aiseee!Mbona corona inaisaidia Simba tu haiisaidii taifa stars??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] aiseee!Mbona corona inaisaidia Simba tu haiisaidii taifa stars??
Yanga si ni timu ya Wananchi? Kuna ubaya Wananchi tukiijadili timu yetu?
Kuna mjinga kaniambia leo eti Yanga inafanya usajili hadi kwa elfu hamsini, nimeumia sana!!MALCOM LUMUMBA Unahitajika huku mtani
😂 😂 😂Ni kweli mkuu na mimi nasikia hivyo😬😬Kuna mjinga kaniambia leo eti Yanga inafanya usajili hadi kwa elfu hamsini, nimeumia sana!!
Hahaha, nimefedheheka sana!😂 😂 😂Ni kweli mkuu na mimi nasikia hivyo😬😬
Karibu simbaHahaha, nimefedheheka sana!
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji85][emoji85][emoji85] heheeeee! Bongo sihamiYanga ni kikundi cha mpira na sio timu ya mpira bado muunganiko haupo kabisa japo kunawachezaji wanaviwango vikubwa ni kama vile makalio tu yako pamoja lakini katikati kuna mpaka.
Sawa dada mvaa vjora. Km vp kunya BOGAniliposoma kwamba wawa na onyango ni mabeki bora nikaishia hapo baada ya kukumbuka onyango kupigiza upara chini na kutaka kumdaka miguu T.K master, nkakumbuka wawa alivyo channuliwa miguu kule Sudani nimecheka sana nkafunga na uzi
Mie mbavu sina walahi 😹😹😹Ooh ok kwahiyo na hizi timu zingine hawa wananchi tunaowaona wanashabikia unasemaje kuhusu wao?
Shabiki wa utopolo vidimbwini mbona una hasira sana? Relax binti hebu kunywa maji kwanzaKwanini muijadili Yanga na si timu nyingine? Wamewaambia muwasaidie? Timu zingine zote ziko vizuri hadi ipatikane Yanga kama ndiyo ya kuijadili? Wewe ni shabiki wa timu gani?
Timu nzuri sio kwamba haifungiki, bali yenye mipango na malengo yanayoonekana uwanjani bila makando kando.Timu yenye uwezo wa kujiuliza pindi ikitekeleza.Sio kwamba Yanga hawana Timu nzuri...wana timu nzuri ila hawana Kikosi kikubwa chenye kupambana Msimu Mzima...
Kinacho tokea Leo ni matokeo ya kuwa na kikosi kidogo hakuna mbadala .....
Huwezi sema yanga hawana Timu nzuri lakini ukiangalia kwenye Mechi 25 Kapoteza mechi 1...
Simba wa kufugwa tu nyie hamtutishi😏😬Shabiki wa utopolo vidimbwini mbona una hasira sana? Relax binti hebu kunywa maji kwanza
Na wewe babe useme hapa uko timu gani, ili nikupe kibuti sasa hivi kama siyo Yanga mwenzangu😜Mie mbavu sina walahi 😹😹😹
Simba ana viporo mechi nne akishinda mechi mbili anawapita, mnaongoza sababu simba ana viporoHalafu Mimi sikuitaja Simba lakini anyway ngoja nikubaliane na wewe kwamba Ni Simba na swali ulilouliza ni invalid kwakuwa Simba haijafanya lolote dhidi ya Yanga.Simba imefungwa na Prison na Ruvu shooting na iko nafasi ta tatu,Yanga imefungwa mechi moja tu na coastal union na inaongoza ligi.Hapo unasemaje mkuu.
Mie timu yako bebe wangu, we are the world we are the children!Na wewe babe useme hapa uko timu gani, ili nikupe kibuti sasa hivi kama siyo Yanga mwenzangu😜