Karibu tujadili Ubovu wa Yanga kitaalamu.

Suluhisho ni serikali iingilie kati.

Ikiwezekana simba ibadilishwe iwe chama cha siasa maana wao ndo wanaifanya yanga ionekane mbovu.
 
Hahahahah Yanga ni genge la wapiga domo tu! Soka safi hamna kazi kutupiana lawama tu
 
niliposoma kwamba wawa na onyango ni mabeki bora nikaishia hapo baada ya kukumbuka onyango kupigiza upara chini na kutaka kumdaka miguu T.K master, nkakumbuka wawa alivyo channuliwa miguu kule Sudani nimecheka sana nkafunga na uzi
Hukumbuki Onyango alivyowatia bao la kichwa?Hujasikia Onyango Ni Man of the Match huko Misri dhidi ya Al Ahly??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…