shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 1,570
- 3,129
Timu kubwa inacheza mashindano madogo!Habari wadau poleni na kazi. Wanasimba wenzangu niwape hongera .
Moja kwa moja kwenye mada .Baada ya Simba kufuzu kwenda hatua ya fainali sasa tutaanza kuona nyuzi za watopolo wakimtisha simba kuhusu Berkane.
Niwambie tu nyie topolo kaeni kwa kutulia simba ni timu kubwa haogopi timu yoyote Afrika .
Huyo berkane alishawahi kucheza na Simba.
Sisi Simba tunamsubilia na uzuri tunaanzia kwake.
Nashnagaa wanasherekea nusu fainali huko gombani PembaTimu kubwa inacheza mashindano madogo!
Hii inashangaza kidogo.
Hahaha 😂🤣Nashnagaa wanasherekea nusu fainali huko gombani Pemba
Futa kwanza iyo kauli ya kusema Simba ni timu kubwa inawezekana umepitiwa,,alafu akuna anayewatisha tunachoangalia ni current performance na mambo mengi ya kiufundi kati ya Simba na berkane sio habari za miaka iliyopita,,na huo ndio ukweli!Habari wadau poleni na kazi. Wanasimba wenzangu niwape hongera .