Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

Kama mpaka unamaliza kidato Cha sita hujajua unataka kuwa nani,na usome nini?basi una shida kubwa,nilianza kuwa na kiu ya kusoma Elimu ya juu,nikiwa darasa la saba,nilipokuwa kidato Cha kwanza,mambo ya fizikia,chemistry yalinivutia sana,nikaamua lazima nichukue mkondo wa sayansi,PCM,nikapiga PCM,baada ya form four,nikasema lazima niwe engineer,nikapasua Pepa,fast forward leo ni engineer wa umeme.
Hivi vitu lazima uvijue mapema,
 
Vipi Tanesco mambo yanakwendaje hapo
 
Back
Top Bottom