Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
We watu wana mtusi humu utadhani hawana wazazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We watu wana mtusi humu utadhani hawana wazazi
Missing you too
Mmmh. Nimepita huko
Kwani Emojis hauzijui?Naomba viongezwe vitufe hapo kwenye like, quote au reply. Viongezwe vya furaha na majonzi
Jamaa flan hivi aliendaga China kikazi af akapanga dili na mdada wa ofsn kwao wawe wanalala Pamoja ili wa bane matumizi lkn hakuna kuduu. Cha ajabu siku ya kwanza alivyo tuomba ushauri hajarudi tena na ni miaka 5 Sasa. Sijui waliamua kuzamia china ama laa!
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] Fanya uchunguz walirudi au la!Jamaa flan hivi aliendaga China kikazi af akapanga dili na mdada wa ofsn kwao wawe wanalala Pamoja ili wa bane matumizi lkn hakuna kuduu. Cha ajabu siku ya kwanza alivyo tuomba ushauri hajarudi tena na ni miaka 5 Sasa. Sijui waliamua kuzamia china ama laa!
Sent using Jamii Forums mobile app
NaamKama hivi[emoji1] [emoji2] [emoji24] [emoji24] [emoji40] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji13] au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee wngine hatuna kwenye vifaa tunavyotumiaKwani Emojis hauzijui?
Basi hakuna namna hapo ,pambana na hali yako .Mzee wngine hatuna kwenye vifaa tunavyotumia
Sawa mzeeBasi hakuna namna hapo ,pambana na hali yako .