Karibu tuzungumze juu ya JamiiForums

Karibu tuzungumze juu ya JamiiForums

Jamaa flan hivi aliendaga China kikazi af akapanga dili na mdada wa ofsn kwao wawe wanalala Pamoja ili wa bane matumizi lkn hakuna kuduu. Cha ajabu siku ya kwanza alivyo tuomba ushauri hajarudi tena na ni miaka 5 Sasa. Sijui waliamua kuzamia china ama laa!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] Fanya uchunguz walirudi au la!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi shida ya kupigwa bann za hovyo hovyo nimejikuta nafungua ID kila mara.nyingine hata sizikumbuki tena
 
Back
Top Bottom