Car4Sale Karibu uagize kutoka Be forward!

Car4Sale Karibu uagize kutoka Be forward!

2006 Toyota Sienta

1,490 CC

95,981 KM


Unaweza kuagiza kwa Gharama kamili ya kuanzia TZS 10,600,000/=

Malipo ni ya awamu 3

malipo ya awali

TZS 5,500,000/=


Gari yako unaletewe.




EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097

BK043133_52fe4f.jpeg


BK043133_548766.jpeg


BK043133_318f69.jpeg


BK043133_642dcc.jpeg


BK043133_5a0939.jpeg


BK043133_e83dd4.jpeg


BK043133_b7f95a.jpeg


BK043133_e0fd6a.jpeg
 
2002 Toyota Vitz

1,290 CC

69,387 KM


Unaweza kuagiza kwa Gharama kamili ya kuanzia TZS 8,800,000/=

Malipo ni ya awamu 3

malipo ya awali

TZS 4,700,000/=


Gari yako unaletewe.




EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097

BK071813_125476.jpeg


BK071813_b62e56.jpeg


BK071813_950074.jpeg


BK071813_6b7fac.jpeg


BK071813_2b2f0e.jpeg


BK071813_ae2022.jpeg


BK071813_ea2ad3.jpeg


BK071813_8691b9.jpeg
 
2006 BMW 3 Series

1,990 CC

54,139 KM


Unaweza kuagiza kwa Gharama kamili ya kuanzia TZS 13,900,000/=

Malipo ni ya awamu 3

malipo ya awali

TZS 7,500,000/=


Gari yako unaletewe.




EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097

BK097721_8fae12.jpeg


BK097721_533237.jpeg


BK097721_5fb2a7.jpeg


BK097721_862f09.jpeg


BK097721_0c48c6.jpeg


BK097721_f0574e.jpeg


BK097721_3485b2.jpeg


BK097721_b36823.jpeg
 
Ni biashara,

Na biashara yeyote lazma iwe kwa uwazi. Hakuna haja ya kuficha ficha.

Ahsante.
Mkuu mimi nimekushauri tu, jikite kutafuta faida dogo lakini upate wateja wengi i.e 200,000/= kwa gari moja, achana na mambo ya bima bure wewe muagizie gari mteja bima atapambana mwenyewe.


Bei za Beforward na makampuni mengine ya kuuza magari ni negotiable ukiweka reference namba na wewe ukapigia mahesabu ya bei iliyopo kwenye website ambayo ni negotiable mtu hataona sababu ya kuagiza kupitia wewe kwa sababu hatapata unafuu wowote wa bei. Sijasema ufiche reference namba, weka reference namba lakini weka bei ya chini ambayo itakupa faida ya laki2-3 plus $20 points za Beforward.
 
Wapendwa,

Ni matumaini yangu kwamba sote tupo salama!

Kwa wale wa mkoa wa Mbeya, na mikoa jirani.

Nawakaribisha kuanzia Tarehe 25/06/2021

Ofisini kwetu EAPGS kuweza kuagiza gari mzipendazo kutoka BE FORWARD JAPAN!

kampuni kongwe kwenye eneo la uuzaji na usafirishaji wa magari kutoka japan, yenye kupendwa na kuaminika zaidi

KWANINI BE FORWARD ?

1. Ni kampuni ambayo imekua ikitoa huduma ya uuzaji na usafirishaji magari kutoka japan kwenda nchi mbali kwa takriban miaka 17 sasa.

Kampuni ambayo imeshasafirisha zaidi ya magari 500,000 kwenye nchi zaidi ya 120 mpaka sasa tokea mwaka 2004.
Jambo ambalo limeifanya kuwa kampuni kinara hadi sasa!

2. Idadi kubwa ya machaguo ya magari kulingana na budget yako. Uhakika wa ubora pamoja na usalama wa fedha zako.


KWANINI EAPGS ?

1. Utasaidiwa kuchagua gari itakayo kufaa kwenye matumizi yako ya kila siku na kupewa ushauri bure kabisa.

2. Utaweza kuagiza gari yako kwa malipo ya awali ya chini ya 50%

3. Huduma muhimu kama vile bima ya barabarani. Utaipata bure kwa mwaka mzima. (Comprehensive insuarance )

4. Usalama wa pesa zako, pia uhakika wa 100% kupata kile ambacho umekichagua na uharaka wa kukufikia.


Ni kuanzia 25/06/2021 hii!


Karibu!!


EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097
Safi mkuu, wana Mbeya sasa itakua haina sababu ya kusafiri mpaka Dar es Salaam ili kuonana na mawakala.
 
Safi mkuu, wana Mbeya sasa itakua haina sababu ya kusafiri mpaka Dar es Salaam ili kuonana na mawakala.
Naam mzee,

Ahsante.

Nitakutafuta pia kukupa kazi.
 
Tatizo una zi over price na kuna route ya bei rahisi.
Amekushauri tu kuwa unaweza ukapoteza wateja kirahisi sana
Ahsante kwa maoni mzee

Miongoni mwa watu ambao nimekua nikisoma thread zao kabla ya kufikia uamuzi wa kujiunga hapa.

Kujibu swali,

Ni kwamba,

Suala sio kwamba nina over price au la. Ndio maana hakuna ambapo kuna eneo nimeandika ( fixed ) hii inamaana kwamba the price is negotiable.

Hakuna biashara ambayo haina negotiations.

Pia kumbuka, ninalipia office, kuna wafanyakazi ambao nina walipa mishahara

Ulipaji wa mikataba kwa mawakili n.k

Na gharama zingine za uendeshaji kampuni.

Na ndio maana kila kitu nimeweka wazi, anaenunua ananunua kwa hiyari akijua wazi kwamba gari husika inauzwa wapi
bei na kila kitu.

Hivyo ni suala la mtu mwenyewe tu kuamua.
 
Hata hivyo mkuu unazi overprice sana mfano hiyo Ractis inafika kwa milioni10.1 tu (manunuzi4.6m, ushuru4.5m, tbs+bandari0.8m). Ushauri usiweke reference namba za Beforward utaumbuka sababu watu wanaweza kufanya mahesabu.
Inakuaje ushuru unakua sawa na bei ya manunuzi
 
Ahsante kwa maoni mzee

Miongoni mwa watu ambao nimekua nikisoma thread zao kabla ya kufikia uamuzi wa kujiunga hapa.

Kujibu swali,

Ni kwamba,

Suala sio kwamba nina over price au la. Ndio maana hakuna ambapo kuna eneo nimeandika ( fixed ) hii inamaana kwamba the price is negotiable.

Hakuna biashara ambayo haina negotiations.

Pia kumbuka, ninalipia office, kuna wafanyakazi ambao nina walipa mishahara

Ulipaji wa mikataba kwa mawakili n.k

Na gharama zingine za uendeshaji kampuni.

Na ndio maana kila kitu nimeweka wazi, anaenunua ananunua kwa hiyari akijua wazi kwamba gari husika inauzwa wapi
bei na kila kitu.

Hivyo ni suala la mtu mwenyewe tu kuamua.
Sikujua hili la negotiation kama lipo , nisamehe bure , huko mbele ninaweza kuwa mteja wako japo naishi Dar na ofisi yako ipo Mbeya ., kuna elements fulani umezieka kwenye biashara yako zinanivutia somehow , installments!!!
Tupo pamoja
 
Back
Top Bottom