Car4Sale Karibu uagize kutoka Be forward!

2006 Toyota Sienta

1,490 CC

95,981 KM


Unaweza kuagiza kwa Gharama kamili ya kuanzia TZS 10,600,000/=

Malipo ni ya awamu 3

malipo ya awali

TZS 5,500,000/=


Gari yako unaletewe.




EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097















 
2002 Toyota Vitz

1,290 CC

69,387 KM


Unaweza kuagiza kwa Gharama kamili ya kuanzia TZS 8,800,000/=

Malipo ni ya awamu 3

malipo ya awali

TZS 4,700,000/=


Gari yako unaletewe.




EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097















 
2006 BMW 3 Series

1,990 CC

54,139 KM


Unaweza kuagiza kwa Gharama kamili ya kuanzia TZS 13,900,000/=

Malipo ni ya awamu 3

malipo ya awali

TZS 7,500,000/=


Gari yako unaletewe.




EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097















 
Ni biashara,

Na biashara yeyote lazma iwe kwa uwazi. Hakuna haja ya kuficha ficha.

Ahsante.
Mkuu mimi nimekushauri tu, jikite kutafuta faida dogo lakini upate wateja wengi i.e 200,000/= kwa gari moja, achana na mambo ya bima bure wewe muagizie gari mteja bima atapambana mwenyewe.


Bei za Beforward na makampuni mengine ya kuuza magari ni negotiable ukiweka reference namba na wewe ukapigia mahesabu ya bei iliyopo kwenye website ambayo ni negotiable mtu hataona sababu ya kuagiza kupitia wewe kwa sababu hatapata unafuu wowote wa bei. Sijasema ufiche reference namba, weka reference namba lakini weka bei ya chini ambayo itakupa faida ya laki2-3 plus $20 points za Beforward.
 
Safi mkuu, wana Mbeya sasa itakua haina sababu ya kusafiri mpaka Dar es Salaam ili kuonana na mawakala.
 
Safi mkuu, wana Mbeya sasa itakua haina sababu ya kusafiri mpaka Dar es Salaam ili kuonana na mawakala.
Naam mzee,

Ahsante.

Nitakutafuta pia kukupa kazi.
 
Tatizo una zi over price na kuna route ya bei rahisi.
Amekushauri tu kuwa unaweza ukapoteza wateja kirahisi sana
Ahsante kwa maoni mzee

Miongoni mwa watu ambao nimekua nikisoma thread zao kabla ya kufikia uamuzi wa kujiunga hapa.

Kujibu swali,

Ni kwamba,

Suala sio kwamba nina over price au la. Ndio maana hakuna ambapo kuna eneo nimeandika ( fixed ) hii inamaana kwamba the price is negotiable.

Hakuna biashara ambayo haina negotiations.

Pia kumbuka, ninalipia office, kuna wafanyakazi ambao nina walipa mishahara

Ulipaji wa mikataba kwa mawakili n.k

Na gharama zingine za uendeshaji kampuni.

Na ndio maana kila kitu nimeweka wazi, anaenunua ananunua kwa hiyari akijua wazi kwamba gari husika inauzwa wapi
bei na kila kitu.

Hivyo ni suala la mtu mwenyewe tu kuamua.
 
Hata hivyo mkuu unazi overprice sana mfano hiyo Ractis inafika kwa milioni10.1 tu (manunuzi4.6m, ushuru4.5m, tbs+bandari0.8m). Ushauri usiweke reference namba za Beforward utaumbuka sababu watu wanaweza kufanya mahesabu.
Inakuaje ushuru unakua sawa na bei ya manunuzi
 
Sikujua hili la negotiation kama lipo , nisamehe bure , huko mbele ninaweza kuwa mteja wako japo naishi Dar na ofisi yako ipo Mbeya ., kuna elements fulani umezieka kwenye biashara yako zinanivutia somehow , installments!!!
Tupo pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…