Tunashukuru mzee, Sisi wenyewe imetushangaza sana.Humu kuna watu wana maswali ya kingese sana...hii ni biashara ukiweza kuagiza mwenyewe fanya..yeye kafungua ofisini lazima aweke gharama za uendeshaji...
Jamaa yupo vizuri kaelezea kila kitu
Auto,imaendaje?Karibu sana mzee,
Naam zipo ungependa Manual au Automatic?
2007Ungejaribu kuwa more specifically, ilituweze kukupatia pia gharama halisi.
Naomba utuambie mwaka wa gari unaohitaji.
Sasa sindio biashara mzee baba! Sasa akikuagizia kwa bei unayotaka wewe yeye ataendeshaje ofisi? Au hujui kuwa faida yake iko kwenye hizo figures?Tatizo una zi over price na kuna route ya bei rahisi.
Amekushauri tu kuwa unaweza ukapoteza wateja kirahisi sana
Wanazingua sana wabongo, ni sawa na mtu kuingia saluni yenye wahudumu wazuri,kubwa yenye nafasi na comfortability ya kutosha, iko katikati ya mji ambako fremu ni ghali halafu anataka alipie buku 2 kunyolewa na kufanyiwa extra services!Humu kuna watu wana maswali ya kingese sana...hii ni biashara ukiweza kuagiza mwenyewe fanya..yeye kafungua ofisini lazima aweke gharama za uendeshaji...
Jamaa yupo vizuri kaelezea kila kitu
Mzee,Wanazingua sana wabongo, ni sawa na mtu kuingia saluni yenye wahudumu wazuri,kubwa yenye nafasi na comfortability ya kutosha, iko katikati ya mji ambako fremu ni ghali halafu anataka alipie buku 2 kunyolewa na kufanyiwa extra services!
Hatuheshimugi biashara za watu kabisa kanakwamba hatuelewi kuwa biashara ni lazima ijiendeshe kwa faida!
Mtu anayeamua kununua gari tayari ameshajiandaa hivyo swala la kulipa kwa instalment sio kigezo cha kusema ni unafuuUkiagiza wewe binafsi,
Utapaswa kulipia 100%
Lakini mfano ukiagiza kupitia sisi, unapata kulipa kwa awamu tatu
Hii inamaana kwamba, tunakusaidia kulipa gharama zingine kisha unazitejesha kwa muda tutakao kubaliana kisheria
Karibu sana.
EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097