Kuna haka kanaitwa vitz yaris..bei ni mojaMzee wangu,
Ahsante kwa ulizo lako,
" ka vitz " unapata kuanzia jumla ya 9,800,000/=
Karibu sana
KAZI NI KWAKO !!!
EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
WHATSAPP ONLY
Asante kwa taarifa ...inamaana hamna RHD?Salama mzee?
Hizo huwa hatuleti
LHD ( Left Hand Drive )
Zinasumbua wengi.
Hivi Kuna Wish ambazo ni 4WD mkuu?2009 Toyota Wish
1,980 CC
75,350 KM
TZS 16,300,000/=
Agiza kwetu kwa Malipo ya awali ya Tzs 6,700,000/=
Gari inasafrishwa!
BIMA KUBWA BURE!!
EAPGS
MAFIATI AREA
MBEYA TANZANIA
CALLS , TEXTS & WHATSAPP
+255 682 274 097
View attachment 1827377
View attachment 1827378
View attachment 1827379
View attachment 1827380
View attachment 1827381
View attachment 1827384
View attachment 1827385
View attachment 1827386
Daah hii nchi inajua kukamua wananchi wake kwa kodi, yaani kodi ni sawa na bei ya kununulia gari? Yaani utadhani wamechanga mtaji na wauzaji wa magari!!Hata hivyo mkuu unazi overprice sana mfano hiyo Ractis inafika kwa milioni10.1 tu (manunuzi4.6m, ushuru4.5m, tbs+bandari0.8m). Ushauri usiweke reference namba za Beforward utaumbuka sababu watu wanaweza kufanya mahesabu.
Vipi kuhusu Toyota Vanguard??Kimsingi, Volkswagen Touareg Reliability rating yake ni 3.0 kati ya 5.0. kitu ambacho kinai-rank 25th kati 26 kwenye midsize SUVs.
Na average annual repair cost huwa inakwenda hadi 2,249,000/=
Hii inamaana kwamba ina poor ownership costs.
Repairs ni za mara kwa mara , kwahiyo unaweza ku- experience a few visits kwa fundi wako than normal.
That's what i can say!
Lakini wapo wataalamu wengine humu, wanaweza kuja na kutoa ushauri kitaalamu zaidi.
Ahsante