Car4Sale Karibu uagize kutoka Be forward!

Car4Sale Karibu uagize kutoka Be forward!

Nikiagiza mwenyewe kivyangu gari ikikaribia kufika nikitaka kuwatumia kunitolea gari bandarini kama wakala wangu gharama zenu zikoje ukiachana zile za TRA na za bandarini?
 
Nikiagiza mwenyewe kivyangu gari ikikaribia kufika nikitaka kuwatumia kunitolea gari bandarini kama wakala wangu gharama zenu zikoje ukiachana zile za TRA na za bandarini?
Inategemea na gari mzee

Ila Mostly ni 250,000/=
 
😀😀
Kuushtua umasikini, inaruhusiwa mzee wangu !!

Vipi, hautaki ile bugatti tena?
Hahah aisee mkuu, Toyota soarer 2001 model(convertible) yenyewe inaendaje mkuu?

Niweke pia na Bei ya Lexus sc430 ya miaka hio hio mkuu.

Mwaka Jana nilizicheki Bei ilikua kawaida tu,nikaja kuzicheki tena this time around naona CIF ikawa imepanda 2×,sijui hata kilitokea Nini mzee.
 
Back
Top Bottom