nyumbanzuribeinzuri
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 2,144
- 276
- Thread starter
-
- #41
Haka kanyumba(90,000/=) kamisha pata MTEJA WAPENDWA watu wapo fasta sanaNdani ya hii Nyumba kuna KAKILI KUU kale kagari kadogo kazima kabisa nako kanakodishwa kwa MTU atakae hamia hapo tu
Fremu za biashara mjini kati/pembezoni mwa mji
(Bei 1.2 -10mil@mwaka)
Nyumba za kuishi
kuanzia chumba kimoja/Nyumba nzima
(Bei 40elfu-10mil@mwaka)
Viwanja pia vinapatikana vilivyopimwa na visivyopimwa
Contact
0767-241001
0620-690670
NB
Taja sifa ya Nyumba unayotaka,bajeti yako, tutakutumia what s up picha, Pigeni simu mkiwa na maandalizi .
Usikubali kuzungushwa kutwa nzima
Hii bei hata Ikuluu haikamatii[emoji23][emoji23][emoji23]Chumba sebule
Nyegezi
Master
750,000/=
Weka sifa za Nyumba unayotaka sisi tutakupatia popote Mwanza
0767241001
0620690670
Nahitaji nyumbaKanyumba kazuri sana lkn kapo Kisesa huko kana vyumba viwili. kimoja master, sebure,sehemu ya chakula, jiko fensi kubwa, umeme na maji kanajitegemea kila kitu
Bei sasa 90,000/= anapokea miezi sita MWENYEWE KALA VUA NYINGI SANA(Jerraaa) WASIMAMIZI WAPO MUSOMAView attachment 1115391View attachment 1115392View attachment 1115393
LiniNahitaji nyumba
Eneo :Bugarika Sokoni au karibu na Bugando.
Sifa:Vyumba viwili na sebule.Choo Cha ndani.
Sory 75,000/= typing errorHii bei hata Ikuluu haikamatii[emoji23][emoji23][emoji23]