House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Una eneo la ukubwa gani mana siku hizi shule lazima uwe na ukubwa uliopitishwa na serikali
MTU akitaka hata viwanja 10 Vya mpira wa miguu Vya pamoja nampa lkn huyu Tajili yangu HATARI SANA YY ANATAKA APANGE SHULE ni mtihani mgumu sana na YUPO VERY SERIOUS (Pesa anayo)
 
JIKO HILO
Buhongwa
Bei 100,000@mwzX6
Lipo Baa
Unaweza kuuza chochote
mf:-supu,chips,Chakula,hotchair
Pamechangamka sana
0767241001
0620690670

IMG_20190605_215124_414.JPG
IMG_20190605_220026_863.JPG
 
MTU akitaka hata viwanja 10 Vya mpira wa miguu Vya pamoja nampa lkn huyu Tajili yangu HATARI SANA YY ANATAKA APANGE SHULE ni mtihani mgumu sana na YUPO VERY SERIOUS (Pesa anayo)

Mwanza kwa sasa hakuna eneo la ukubwa huo ni nyashishi tu mtu alikuwa na shamba na keshauza ndugu yangu kahangaika sana akakosa
 
MTU akitaka hata viwanja 10 Vya mpira wa miguu Vya pamoja nampa lkn huyu Tajili yangu HATARI SANA YY ANATAKA APANGE SHULE ni mtihani mgumu sana na YUPO VERY SERIOUS (Pesa anayo)
Mwanza International school pale Iseni palikuwa sokoni sema nasikia Uhuru Hospital wamepachukua.
 
Mwanza International school pale Iseni palikuwa sokoni sema nasikia Uhuru Hospital wamepachukua.
N kweli kabisa hapo jeshini magorofani FEZA BOYS walitaka waweka branch kanda ya ziwa lkn naona wamewakodisha UHURU HOSPITAL
 
Mwanza kwa sasa hakuna eneo la ukubwa huo ni nyashishi tu mtu alikuwa na shamba na keshauza ndugu yangu kahangaika sana akakosa
Duuh huu sasa ubishi Wa 4G!!!!
Yapo mengi sana kama bado mnahitaji ww na ndugu yako mm ninayo Boss, sehemu ya kwanza n BULALE - BUHONGWA(hapa ninaviwanja vingi sana vyote vimepimwa tunaweza kuviunganisha zikajengwa SHULE zaidi ya 5),Kisesa njia inayotoboa Usagara yapo INAWEZEKANA MTU MLIOMTUMIA ANAMTANDAO MDOGO kwa hiyo pia aliwakatisha tamaa mapema
krb sana (hatubahatishi)
 
Nitafutie CHOO CHA KUKODISHA soko kuu,libeti,Makoroboi
Bei isizidi lk 1naweza kulipa miezi Sita au sehemu ya kujenga hiyo choo. Sharti kubwa sehemu ambayo imechangamka sana njoo inbox tuyajenge zaidi
 
Nitafutie CHOO CHA KUKODISHA soko kuu,libeti,Makoroboi
Bei isizidi lk 1naweza kulipa miezi Sita au sehemu ya kujenga hiyo choo. Sharti kubwa sehemu ambayo imechangamka sana njoo inbox tuyajenge zaidi
Changamoto mpya!!
Pouwa ntakujibu vzr badae lkn
Mjini hapa hurusiwi kujenga JENGO lolote fupi hata kama n banda LA mbwa wanataka magorofa tu
Krbu sana chief
 
natafuta nyumba ya kununua bei milion 15 kushuka chini na angalau isiwe mbali na nauli ya daladala ya gari moja nifike mjini.
 
Asante sana Mtumishi Wa Mungu
Hii nyumba tayali imechukuliwa
Karibuni Tena
0767241001
Tunazo Nyumba za watu Wa vipato vyote
IMG_20190606_115419_904.jpg
 
ISAMILO(Jrn Balozi Dr.Migiro)
Nyumba inauzwa
Mil 75
Vyumba vinne vyakulala
Master room zote
Fensi kubwa
Security camera
Mwenyewe yupo America
Njoo na MWANASHERIA WAKO
0767241001
0620690670
NB
Taja Nyumba unayotaka sisi tutakupa kulingana na vigezo vyako, zipo za kila namna kukaa na mwenye Nyumba mkolofi umejitakia mwenyewe kwanini usihame!!!!
IMG_20190606_124300_463.JPG
IMG_20190606_124443_100.JPG
IMG_20190606_124338_302.JPG
 
Back
Top Bottom