Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjini kati panakufaa!!!Nitafutie eneo lilichangamka kwa ajili ya mgahawa.
Igoma,Buhongwa na Mjini chagua wapi??0767241001Nitafutie eneo lilichangamka kwa ajili ya mgahawa.
Thaqafa na barabara ya airport wapi na wapi.....ongeza umakini kidogo unapotoa maelekezoHapo thaqafa IPO fremu moja tu mita mbili KUTOKANA Barbara ya Airport Mil 4.5 kwa mwaka haishuki lkn ukija maeneo ya Nyuma yake mtaa Wa Uhuru krbu na SUMAYE HOTEL ZIPO ZAIDI YA SITA ZINAANZIA MIL 1.5 hadi 3.5
Asante kwa ushauri IDD MBARAKA!!!!Thaqafa na barabara ya airport wapi na wapi.....ongeza umakini kidogo unapotoa maelekezo
Lini
OkTarehe 28 Mwezi wa 7
Nipe bei ya kila eneo.Igoma,Buhongwa na Mjini chagua wapi??0767241001
Wengine wanataka eneo LA wazi wajenge vibanda vyao au wengine wanataka chumba waweke vitu vyao eleza vzr wote hawa wanapishana beiNipe bei ya kila eneo.
ChumbaWengine wanataka eneo LA wazi wajenge vibanda vyao au wengine wanataka chumba waweke vitu vyao eleza vzr wote hawa wanapishana bei
@MolembeChumba
ViwanjaBuhongwa -Mweas(tambalale)
Viwanja vimepimwa
40-50ft
Bei inaanzia Mil 5 nk.
0767-241001
0620-690670
Krbn
CHANGAMOTO YA LEO!!
MTU AMENIPA KAZI NGUMU SANA anataka nimtafutie majengo ya SHULE ayakodishe nimeshangaaa sana namuambia nimuuzie eneo kubwa ajenge SHULE yake alochonijibu nimebaki mdomo wazi (yaani n kama matajiri wa KIHINDI wanachukia KUJENGA SANA)