samahani jaman wana jf mm nmemaliza diploma last year. 4m 6 nlimaliza 2010 nkapata division 3 ya 17 ECA nkapata principle mbili ya accounting na economics. Vp naeza pata mkopo kweli??? naombeni mnisaidie kunipa jibu.
samahani jaman wana jf mm nmemaliza diploma last year. 4m 6 nlimaliza 2010 nkapata division 3 ya 17 ECA nkapata principle mbili ya accounting na economics. Vp naeza pata mkopo kweli??? naombeni mnisaidie kunipa jibu.
matokeo ya diploma cjapata bado.
Vipi na form six jeee? Wanaweza ku-apply maana matokeo bado hayajatoka??
Maombi ni kuanzia tarehe 1/5/2013 hadi tarehe 30/6/2013 kwa waombaji wapya na wa zamani. Waombaji wapya watalipa Tsh.30,000/=. Wale wa mwaka wa Tano na Sita watalipa Tsh.10,000/=. Waombaji wanaosoma mwaka wa Pili, Tatu na Nne ambao walilipa ada ya maombi tsh.30,000/= mwaka wa masomo 2009/2010, 2010/2011 na 2011/2012 hawatakiwi kulipa ada tena.
vp kwa wale ambao tuliomba mwaka wa masomo 2011/2012 lakin hatukupata lakn tulilipa ile ada sh.30000,inakuaje hapo mkuu,naomba ufafanuz
Wana JF, ndugu yenu nimechelewa kupata habari hizi. . ..... naomba niwekeeni hapa website ya kuombea hiyo mikopo. sikuishika vizuri wakati katibu akitangaza redio one leo asubuhi......
Embu naombeni msaada hapa kuna girlfriend wangu alimalza hapa tanzania, lakin matokeo aliyopata hayakumruhusu kuendlea na form six kwa tanzania, yan alipata four so akaamua kwenda uganda huko amemaliza na alifaulu vizur na hv juz kaenda baraza na wamembadilishia hayo matokeo ya uganda na kuwa ya tanzania , na hayo matokeo kwa tanzania yalivyobadilshwa amepata div. II ya kwanza .
-Swali langu atafanikiwa kupata chuo hapa tanzania?
- Na pia vp suala la mkopo atapata?
Mweny kujua anisaidie