Karibuni - Application HESLB (Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu)

Karibuni - Application HESLB (Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu)

samahani jaman wana jf mm nmemaliza diploma last year. 4m 6 nlimaliza 2010 nkapata division 3 ya 17 ECA nkapata principle mbili ya accounting na economics. Vp naeza pata mkopo kweli??? naombeni mnisaidie kunipa jibu.

Utata hapo.....ila sidhani kama mkopo wanaangalia grades, mana kuna watu wana 16 n still wana loan, its for needy students.
 
samahani jaman wana jf mm nmemaliza diploma last year. 4m 6 nlimaliza 2010 nkapata division 3 ya 17 ECA nkapata principle mbili ya accounting na economics. Vp naeza pata mkopo kweli??? naombeni mnisaidie kunipa jibu.

Unapata mkopo rafk yangu, ila kumbuka sometimes huwa kama bahati nasibu vile kwani mara nyingine hata wale wenye ufaulu mzuri hukosa mkopo, jaribu Mungu anaweza kukusaidia ukapata.
 
Hellow guyz, thanks alot fujistu n' benedicto for ur advice ntajarib na naomba Mungu nifanikiwe maana diploma nmesoma kwa shida sn mpk nkaamua kuskip mwaka nijichange.

Ndo nataka nijarib dis year so its better niapply 2 na majibu yangu ya form 6 tu ya diploma not necessary au.
 
Vipi kuhusu wanafunzi tunaosoma nje ya nchi. tunaweza kutuma maombi ya kupatiwa mkopo?
 
Vipi na form six jeee? Wanaweza ku-apply maana matokeo bado hayajatoka??
 
Mh! Ujue swala la kupata mkopo halina uhusiano kabsa na ufaulu wako.kikubwa upate chuo,kwsababu sifja mojawapo ya kupata loan nikuchaguliwa chuo chochote. Kwahyo hilo lickupe shda mkuu fanya maombi yako mapema!
 
Vipi na form six jeee? Wanaweza ku-apply maana matokeo bado hayajatoka??

Subiri, matokeo yakitoka utaapply. Muda bado upo kwani hadi 30/6/2013. By then matokeo yatakuwa yameishatoka.
 
sasa fm 6 mnaweza kuapply mkopo ni tamko toka heslb.
Source gazeti la nipashe 27 may 2013
 
Maombi ni kuanzia tarehe 1/5/2013 hadi tarehe 30/6/2013 kwa waombaji wapya na wa zamani. Waombaji wapya watalipa Tsh.30,000/=. Wale wa mwaka wa Tano na Sita watalipa Tsh.10,000/=. Waombaji wanaosoma mwaka wa Pili, Tatu na Nne ambao walilipa ada ya maombi tsh.30,000/= mwaka wa masomo 2009/2010, 2010/2011 na 2011/2012 hawatakiwi kulipa ada tena.

Vipi kwa wale ambao tuliomba mwaka wa masomo 2011/2012 lakin hatukupata lakn tulilipa ile ada sh.30000, inakuaje hapo mkuu, naomba ufafanuzi.
 
vp kwa wale ambao tuliomba mwaka wa masomo 2011/2012 lakin hatukupata lakn tulilipa ile ada sh.30000,inakuaje hapo mkuu,naomba ufafanuz

Pole ndugu kdany, itakupasa kulipa tena ili maombi yako yawe processed.
 
Wana JF, ndugu yenu nimechelewa kupata habari hizi, naomba niwekeeni hapa website ya kuombea hiyo mikopo. Sikuishika vizuri wakati katibu akitangaza redio one leo asubuhi.
 
Embu naombeni msaada hapa kuna girlfriend wangu alimalza hapa tanzania, lakin matokeo aliyopata hayakumruhusu kuendlea na form six kwa tanzania, yan alipata four so akaamua kwenda uganda huko amemaliza na alifaulu vizur na hv juz kaenda baraza na wamembadilishia hayo matokeo ya uganda na kuwa ya tanzania , na hayo matokeo kwa tanzania yalivyobadilshwa amepata div. II ya kwanza .

-Swali langu atafanikiwa kupata chuo hapa tanzania?
- Na pia vp suala la mkopo atapata?

Mweny kujua anisaidie
 
Ndiyo chuo atapata kwa kuwa maombi yote yanapitia TCU na mkopo ajaze fomu ya HESLB
 
Back
Top Bottom