mzeewakungoa
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,969
- 13,919
Unajua mdomo ungekewa kodi tungeheshimianahawezi kukwambia ukweli aisee maana ukimpigia simu atakwambia yuko bank
umeona heheheeeee binamu umenikosha kweli leo[emoji2] [emoji2] [emoji2] nnakazawadi kakoHahahaha[emoji23][emoji23]ilo jina la dear ntamwita baadae
Kahawa ya tangawizi?Hivi Tangawizi ipo pia ?????
Tayari nimekwisha livuruga acha ni nilinywe.[emoji4] [emoji2]
Yaani umedanganywa UmekubaliHahahahahaha kama kawaida yake[emoji23][emoji23]au atasema niko dubai napokea pesa
Wacha wewe mungu anakuonaushaona ee kumbe wamjua usichomwacha nini[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Hamna tatizo ameniacha dillema binamu si binamu dimella dillema.Nakuona[emoji87] unavyojipigia promo
hahahaha nimecheka mpaka basi aiseee huyo shekh itakuwa wa mwendo kasi na wafuasi wakeKuna Sheikh mmoja alikuwa atoa story za mahurul eiyn msikitini.
Akaanza kuwasifu sanaaaaaa mpaka jamaa wote wamepanda Mori kwa raha. Sasa mukiingia peponi (sheikh akaendelea)...ukifika kwenye Kasri lako...utakaribishwa na wanawake wazuriiiiiiiiiiiii, mpaka macho yatakutoka kwa umaumbile Yao na uzuri wao. Utauliza malaika, Hawa ndio wake zangu wa huku?
Malaika watasema hapana, hao Ni wafanyi kazi wako tu, Hao mahurul eiyn bado hujawaona, uzuri wao Ni Mara elfu hamsini ya hawa! (jamaa msikitini takbiiiiir)!
"Halafu ukiingia ndani unakuta wanawake wengine warembo kuliko wale wa mlangoni...wanakuandalia....utauliza malaika, hao ndio mahurul wangu? Utaambiwa hapana Hawa Ni wa kukupikia na kukuandalia tu! Kila ukiendelea unakutana na warembo kuliko those before na Ni wazuri Mara elfu hamsini ya those before., (jamaa msikitini takbiiiiir ya nguvuuuuu!!!!!!!)
Mwisho unafika chumba kikuu cha Kasri lako, (jamaa hata kukaa hawakai tena wengine wampiga magoti!!). Sheikh akasema, ukifungua mlango.....? Jamaa enheeee?! Tupe Sheikh!!
Sheikh akaendelea, Unamkuta mkeo wa duniani kalala kwenye jitanda lako, amependezaaaa!!!
Jamaa wote wakaruka msikitini, "Sasa sheikh mambo gani Tena? Aaaaaah waudhi kaaa Nini, hebu shuka mimbar hiyo! Aaaah eti mke wangu? Huyu huyu niliomuacha nyumbani? Mmmh! Ushaharibu kila kitu, toka uwende zako!".
Balaaa ikazuka msikitini[emoji12]
Ivi wanaume mna nn lkn[emoji124][emoji124]
Binamu real wapi??Binamu wa bandia huyo[emoji1][emoji28]
mwambie ukweli uko nyumba ndogo?Tuna wageni leo na kesho ndo maana napatikana kwa taabu
jidanganyeMimi naamini huwezi niwekea dhana mbaya.
Waminshrri hasidii idhaa hasadausimwogope mie ntakutetea
Sio kwa mahaba haya kwa mgeni swahiba wa moyo[emoji136]Karibu mgeni[emoji513][emoji512][emoji508][emoji499][emoji493][emoji498][emoji502][emoji501][emoji492][emoji487][emoji490][emoji491][emoji488][emoji489][emoji506]
[emoji12]
kashanambia ataniita wala shaka sina mieNingekuwa Siogopi kwamba utakufa kwa uroho kama "kipunda cha Uroa"ningemruhusu habiby akuite dear binamu ha ha ha ha ha ha.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Nakupa life warranty on that
Hahahaha utahamia wapi tena mbona utatuacha midomo wazi.[emoji79]Ndo madhara ya kubambia thread za watu,badala ya kutoa ushauri tunajiingiza na kuleta stry.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha tumalizie hapa hasira zote,mara kesho tunastukia modz washaufuta uzi hahahha,ntahama tu jf
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]Hahahaha[emoji23][emoji23]ilo jina la dear ntamwita baadae
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Sio kwa mahaba haya kwa mgeni swahiba wa moyo
Ushindwe kunenepa wewe tu.Usijali wacha nende navyo taratibu.[emoji2] [emoji2] [emoji2]
wamin shari bwana shemeji anapotaka mchukuwa binamWaminshrri hasidii idhaa hasada