Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

Kuna Sheikh mmoja alikuwa atoa story za mahurul eiyn msikitini.
Akaanza kuwasifu sanaaaaaa mpaka jamaa wote wamepanda Mori kwa raha. Sasa mukiingia peponi (sheikh akaendelea)...ukifika kwenye Kasri lako...utakaribishwa na wanawake wazuriiiiiiiiiiiii, mpaka macho yatakutoka kwa umaumbile Yao na uzuri wao. Utauliza malaika, Hawa ndio wake zangu wa huku?
Malaika watasema hapana, hao Ni wafanyi kazi wako tu, Hao mahurul eiyn bado hujawaona, uzuri wao Ni Mara elfu hamsini ya hawa! (jamaa msikitini takbiiiiir)!
"Halafu ukiingia ndani unakuta wanawake wengine warembo kuliko wale wa mlangoni...wanakuandalia....utauliza malaika, hao ndio mahurul wangu? Utaambiwa hapana Hawa Ni wa kukupikia na kukuandalia tu! Kila ukiendelea unakutana na warembo kuliko those before na Ni wazuri Mara elfu hamsini ya those before., (jamaa msikitini takbiiiiir ya nguvuuuuu!!!!!!!)
Mwisho unafika chumba kikuu cha Kasri lako, (jamaa hata kukaa hawakai tena wengine wampiga magoti!!). Sheikh akasema, ukifungua mlango.....? Jamaa enheeee?! Tupe Sheikh!!
Sheikh akaendelea, Unamkuta mkeo wa duniani kalala kwenye jitanda lako, amependezaaaa!!!
Jamaa wote wakaruka msikitini, "Sasa sheikh mambo gani Tena? Aaaaaah waudhi kaaa Nini, hebu shuka mimbar hiyo! Aaaah eti mke wangu? Huyu huyu niliomuacha nyumbani? Mmmh! Ushaharibu kila kitu, toka uwende zako!".

Balaaa ikazuka msikitini[emoji12]

Ivi wanaume mna nn lkn[emoji124][emoji124]
hahahaha nimecheka mpaka basi aiseee huyo shekh itakuwa wa mwendo kasi na wafuasi wake
 
[emoji79]Ndo madhara ya kubambia thread za watu,badala ya kutoa ushauri tunajiingiza na kuleta stry.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha tumalizie hapa hasira zote,mara kesho tunastukia modz washaufuta uzi hahahha,ntahama tu jf
Hahahaha utahamia wapi tena mbona utatuacha midomo wazi.
 
Back
Top Bottom