Galapagosi
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 2,848
- 2,637
Nyoka_mzee vipi mzee wa kiringe.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Manati nakuwa kwenye risk ya kupata au kokosa.hahaha wacha apeperuke utamtunguwa na manatiii
Hapo ndio tunasema mwenye asili haachi asili labda awe amesafiri,hahaha huyo betri sio zima mpaka abust ndo gari iwake
Humu salama salimini mzee mwenzangu.Za saa hizi wazee wenzangu..swalamaaa
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
Yamechanganywa na maujuzi ya uarabuni.Kabisa yaani maana sio kwa mapocho pocho yote haya niliyoandaliwa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikiwa na wewe problem zote zinakuwa solved.Umronaeeee teh teh kwahiyo uhakika wa kumsukuma upo %100
swalama sijui ww kwema uliko toka ,karibu tena barazani,Za saa hizi wazee wenzangu..swalamaaa
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
weka vitu weka vituKaribuni tupige vyombo
hahaha ushapata chako cha udalali?Mimi nilienda kua shahidi c unajua mzee juma leo alikua ana uza kiwanja chake
hahaha Tatizo lako ww si mkweli nyumba nyingi na una mnyanyasa dada anguIngelikuwa midomo inalipiwa kodi nina hakika nyoka mzee ungeongea kweli tu... Uongo ungeacha.
subutu binamu ni wangu mwenyewe[emoji57] [emoji57]Ha ha ha ha ha.... Binamu yako mali yangu bwana... C ndo maana unaniita shemeji
kwa husda zako utafungwa huu[emoji4] [emoji4]Usijali haufungwi huu
hahaha binam utanisaidia kuandamana bila nguo?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87]
hahaha ushapata chako cha udalali?
hahaha[emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
Wewe tu mamy popote utakaposema nitaenda maana kumoyo ndio huo unahamia kwako.
ndio [emoji87]Bila nguo tena??? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
safi mzee mwenzangu vp kwema ?Nyoka_mzee vipi mzee wa kiringe.
ndo inabidi ujitahedi usikoseManati nakuwa kwenye risk ya kupata au kokosa.