Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

hahaha huyo betri sio zima mpaka abust ndo gari iwake
Hapo ndio tunasema mwenye asili haachi asili labda awe amesafiri,
Hata kama kasafiri basi hakulipa nauli,
Na kama kalipa nauli basi haliahuka kituo cha pili.
 
Za saa hizi wazee wenzangu..swalamaaa

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
Humu salama salimini mzee mwenzangu.
 
14952072255451532018068.jpg
 
Za saa hizi wazee wenzangu..swalamaaa

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
swalama sijui ww kwema uliko toka ,karibu tena barazani,
 
Back
Top Bottom