Karibuni Baraza la Kahawa

jirani uko mubashara?
maana sio kwa kuniona huko hahaha

Hata mie nakiona jirani na ofa zako
Aaaah wivu huo sasa Jirani ofa zangu zinakuhusu nini[emoji780] [emoji780] wewe na Huyo binamu yko sijawaonea wivu iweje wewe unionee wivuuu[emoji19] [emoji19] naona unahamu ya kufungiwaa njia jiraniii......


Kumbe kunifata nyuma nyuma unafatilia ofa zangu
 
Sasa hili banda la kahawa wine inatoka wapi????[emoji15]
......unajua ukizoea kutongozaaaa kwa kutumia kauongo uongooo inabidi uwe nakumbukumbuuu??!!!!!
Ona sasa aibu ishakupata[emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zipo chache. Exception kwa ambao hawatumii kahawa ila wanapenda stori ya kiringeni.
 
ha ha ha..... Mwambie aache wivu
 
hahaha jirani wivu sunnah muulize binamu atakwambia

[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Zipo chache. Exception kwa ambao hawatumii kahawa ila wanapenda stori ya kiringeni.
[emoji12] wengine wanywe kahawa mie ninywe wine sindiyo mwanzo wakuambiwa na hujumu uchumi wa nchii unataka waache kujadili jinsi ya kupambana na hii hali ngumuuu waanze kunijadili mm[emoji4]

....alafu huwa nikinywaga wine inakimbilia ikuluuu sasa sijui itakuwaje na kaka binamu sinaaa.....
...na jirani yangu humu naona keshatekwa na binamu yake........

.[emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…