[emoji35] [emoji35] unaniharibia issue zangu ......hujui naweza pata Buzi humu humu kwenye kawaha sasa wakiona unanifatafata wataogopa[emoji14]hahaha jirani wivu sunnah muulize binamu atakwambia
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Binam nimetokea muda muafaka kabisa huyo jirani wa ununio atarudi huwa hawapotei jumla.[emoji12] wengine wanywe kahawa mie ninywe wine sindiyo mwanzo wakuambiwa na hujumu uchumi wa nchii unataka waache kujadili jinsi ya kupambana na hii hali ngumuuu waanze kunijadili mm[emoji4]
....alafu huwa nikinywaga wine inakimbilia ikuluuu sasa sijui itakuwaje na kaka binamu sinaaa.....
...na jirani yangu humu naona keshatekwa na binamu yake........
.[emoji125]
hahaha acha tu waogope jirani ili nipate cha kukudalalia[emoji35] [emoji35] unaniharibia issue zangu ......hujui naweza pata Buzi humu humu kwenye kawaha sasa wakiona unanifatafata wataogopa[emoji14]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] umepata na binamu [emoji85] [emoji87]Binam nimetokea muda muafaka kabisa huyo jirani wa ununio atarudi huwa hawapotei jumla.
uliona ile meli ni nomaHamna kitu ka hicho, Trump na wigi lake hana ubavu wa kupambana na DPRK...
[emoji134] naona unataka malipo ya wine sasaBinam nimetokea muda muafaka kabisa huyo jirani wa ununio atarudi huwa hawapotei jumla.
Ngoja daby akukamateee jela itakuhusu babu yng yuleeehahaha acha tu waogope jirani ili nipate cha kukudalalia
haya mambo yanaanza kama safari.[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] umepata na binamu [emoji85] [emoji87]
Ondoa hofu kila kitu nitagharamia kujenga ubinam muhim[emoji134] naona unataka malipo ya wine sasa
Mhhhh ubinamu ubinamuuOndoa hofu kila kitu nitagharamia kujenga ubinam muhim
Usiogope ni neno dogo tu limebeba maana ya undugu na iliyofichika ila sisi tutaenda kuifichua.Mhhhh ubinamu ubinamuu
babu yako yule sio haramu yako yule [emoji12] [emoji12]Ngoja daby akukamateee jela itakuhusu babu yng yuleee
hahaha haya wacha nikae siti ya pembeni nione Dereva unavyotia gia anganihaya mambo yanaanza kama safari.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yule anajidanganya kabisakipanki hana lolote kwa babu na vikombora vyake
anakopa kwenye vikoba au hukusia akiomba ?Jana nilsikia Omari anataka kununua kiwanja tena hivi anapata wapi pesa....usawa huu wa Magu