Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

Jinsi ya KUTENGENEZA UDUGU USIOOZA:
Chukua kiasi kikubwa cha HURUMA [emoji45][emoji45]- angalia kisiwe kikubwa sana - changanya na bakuli moja lililojaa UKARIMU. [emoji4]Ongeza vijiko vitatu vya WEMA[emoji56], kisha koroga pamoja na IMANI,[emoji120] baadae chuja ili kuondoa taka za CHUKI[emoji34], KIBURI,[emoji19] UBINAFSI,[emoji21] UCHOYO,[emoji35] WIVU, [emoji174]UONGO[emoji105] na MAJUNGU.[emoji26] ONGEZA kijiko kimoja cha UPENDO [emoji173]ili kuufanya uchangamke, kisha ufunike na sufuria ya UKWELI [emoji179]ili uumuke. Baadae pasha moto taratibu kwa joto la FURAHA.[emoji38] Ukiwa tayari, pakua na ule kwa TABASAMU.[emoji16] plz share.
Ahsante mumy kwa ujumbe mzuri [emoji120] [emoji120]
 
Vijana wa darisalama hao..duuh
Hivyo ndo vyakula vyenu eeh..
Sisi thgeomba kipolo cha ugali au sahani la futari..
mjini hakuna vyoo vya shimo vingi vya kuflash ,acha tule vitu laini ili kulainisha chooo
 
Bora hata ulivyowahi siti mkuu maana wakija watu utakunywa kahawa huku umesimama utapiteza radha[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kwel mkuu,,, uliyoyasema yashankuta , naona watu wanaitamania siti yangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi huyu naye kanunua gari amepata wapi hela? halafu si nilisikia yule mama wa nyumba ya tatu alikuwa na vyeti feki mbona nimemuona asubuhi asubuhi anapanda gari kavaa kama anaenda kazini? pia nilisahau yule kijana wa kwa mzee Juma hivi siku hizi anamchukua Bi Chaurembo?
Wallahi Yanga hawawezi kuchukua kombe, iwe isiwe Simba watachukua si unaijua kamati ya ufundi ya Simba.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] ,,,, huu ushilawadu classic sana…!!
 
Poleni.... Vizuri niliwahi kuwachukulia wewe na Kakaako mjanjamjanja la sivyo mlikuwa mkae korokoroni kwa wiki nzima..... Hujambo my Queen?
[emoji35] [emoji35] [emoji35] Hakuna cha pole maana tulipata kuenjoy na binamu bila usumbufu wako maana tulikuwa gereza moja
 
Back
Top Bottom