Karibuni Baraza la Kahawa

Karibuni Baraza la Kahawa

Kuna Sheikh mmoja alikuwa atoa story za mahurul eiyn msikitini.
Akaanza kuwasifu sanaaaaaa mpaka jamaa wote wamepanda Mori kwa raha. Sasa mukiingia peponi (sheikh akaendelea)...ukifika kwenye Kasri lako...utakaribishwa na wanawake wazuriiiiiiiiiiiii, mpaka macho yatakutoka kwa umaumbile Yao na uzuri wao. Utauliza malaika, Hawa ndio wake zangu wa huku?
Malaika watasema hapana, hao Ni wafanyi kazi wako tu, Hao mahurul eiyn bado hujawaona, uzuri wao Ni Mara elfu hamsini ya hawa! (jamaa msikitini takbiiiiir)!
"Halafu ukiingia ndani unakuta wanawake wengine warembo kuliko wale wa mlangoni...wanakuandalia....utauliza malaika, hao ndio mahurul wangu? Utaambiwa hapana Hawa Ni wa kukupikia na kukuandalia tu! Kila ukiendelea unakutana na warembo kuliko those before na Ni wazuri Mara elfu hamsini ya those before., (jamaa msikitini takbiiiiir ya nguvuuuuu!!!!!!!)
Mwisho unafika chumba kikuu cha Kasri lako, (jamaa hata kukaa hawakai tena wengine wampiga magoti!!). Sheikh akasema, ukifungua mlango.....? Jamaa enheeee?! Tupe Sheikh!!
Sheikh akaendelea, Unamkuta mkeo wa duniani kalala kwenye jitanda lako, amependezaaaa!!!
Jamaa wote wakaruka msikitini, "Sasa sheikh mambo gani Tena? Aaaaaah waudhi kaaa Nini, hebu shuka mimbar hiyo! Aaaah eti mke wangu? Huyu huyu niliomuacha nyumbani? Mmmh! Ushaharibu kila kitu, toka uwende zako!".

Balaaa ikazuka msikitini[emoji12]

Ivi wanaume mna nn lkn[emoji124][emoji124]
Mimi Sitakuwa kama Hao waumini..... Mke wa duniani akiingia peponi mahur-lein cha mtoto.
 
Za saa hizi wazee wenzangu..swalamaaa

[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
 
Swalamat mbn wapita kwa mbali...Jirani
 
aje alale maana na mie niko huko
We ulie tu shem..... Mnanipaga raha nyie mabinamu.... Mnanyatia binamu zenu mkijidai kutania... Mke wangu mke wangu... Mkipata upenyo tu mambo yameharibika.... Ndo maana mimi niko makini kweli kweli.
 
Back
Top Bottom