Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025
CCM wana akili ndogo sana na ndio chanzo cha umaskini nchi hii, hizo pesa zote wanazo fuja kijinga zingetatua matatizo mengi sana ya wananchi waliyo nayo, na hili ni tatizo la kuwekewa viongozi kwq ajili yao wenyewe na sio viongozi wa wananchi.Nchi ingekuwa na Demokrasia, ingekuwa poa sana. Sasa watu wanashangilia CHADEMA imekufa, wakati mifumo yenyewe imeegemea upande mmoja. Mwenyekiti kapewa makesi makubwa huko, unakaa unajisifu kuwa chama kimekufa. Kama sio upumbavu, ni nini?
Nendeni mkaongeze kipengere cha wenyeviti wa Halmashauri/ Meya wa Jiji, Manispaa, miji kwenye uchaguz wa ndani ya chama, Wenyeviti wa vijiji/ vitongoji na mitaa na wao waingie kwenye uchaguzi kama wapiga kura ili kuongeza idad ya wapga kuraKaribuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025
Hilo dude lenu halina mvuto turudishieni mtu kama Magufuli au Hussein Mwanyi huyu bibi akalale apewe posho za urais maisha yote.Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025
Kwani Tanganyika hakuna watu wa kuongoza ?Hilo dude lenu halina mvuto turudishieni mtu kama Magufuli au Hussein Mwanyi huyu bibi akalale apewe posho za urais maisha yote.
Wote watapigwa tukioKwani Tanganyika hakuna watu wa kuongoza ?
Hii rangi kwa sasa inaongea sana nchini kenya.Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025
CCM wanadhani Tanzania ni kisiwa,tulia , Gen Z watawasumbua sana CCMHii rangi kwa sasa inaongea sana nchini kenya.
Haa Hapo Watoa Vibari Wanafyata Mkia KabisaKibali cha mkusanyiko wanacho?🤣
1. Saa100 tunasali awe WA kwanzaDodoma Ilivyo Ndogo Na Dar Walisema COVID 19 Ipo
Wanekwenda Kuambukizana Dodoma Kila Mtu Apate