The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Achana nao,angalia maisha yako,unajitumbukiza kwenye mtego bila kujijua,sikiliza maneno ya wakubwa hapa,Walifunga ndoa bomani, hivi inarudiwa tena kanisani na wanawatoto tayari.
Sina Shobo mzee nina majukumu yangu ila tu nimeombwa ushauri.
Sana sana nadhani ni ushauri jinsi ya kumrudisha kidume mwenzetu kwenye afya kamili.
Ushauri mwema ntakaopata hapa nitampa aliyeuhitaji.
Matatizo yao wewe hayakuhusu,huyo Mwanamke ni muongo wala Mwanaume wake hana tatizo lolote,alijilengesha tu kwako kwa kutumia hiyo gia,
Acha shobo na maisha ya watu utapigwa paipu shauri yako,kata mawasiliano nae kabisa.