The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Achana nao,angalia maisha yako,unajitumbukiza kwenye mtego bila kujijua,sikiliza maneno ya wakubwa hapa,Walifunga ndoa bomani, hivi inarudiwa tena kanisani na wanawatoto tayari.
Sina Shobo mzee nina majukumu yangu ila tu nimeombwa ushauri.
Sana sana nadhani ni ushauri jinsi ya kumrudisha kidume mwenzetu kwenye afya kamili.
Ushauri mwema ntakaopata hapa nitampa aliyeuhitaji.
Inawezekana kama kweli una nia ya kweli ya kusaidiaHebu kuwa serious mzee.
Linawezekanaje hili?