Pole sana Ahsante piaSikubadilisha ni baada JF kufungiwa mwaka jana ilipofunguliwa id yangu ilishindwa kudisplay na nimejaribu sana kuirudisha lkn imeshindikana.
Nakutumia namba za admn Mkuu Fr Titus Amigu pm.
Sent using Jamii Forums mobile app
Barikiwa sana
Sure naendaga kwenye makambi yao ni balaa
Naomba kuunganishwa kwenye kundi la Whatsapp ili niweze kuyafaidi mafundisho haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Jisemee ww binafsi, sio kila mkatoliki ni mvivu kama wewe! Pole.Naomba nideclare interest kwanza mimi ni mkatoliki, lakini biashara ya injili wakatoliki ilishatushinda tuwaachie pentecoste na waprostentant! Sisi biashara za shule,vyuo, hospital I n.k ndizo tunazoweza. Kusema ukweli biblia hatuisomi wala hatuijui