Karibuni kwetu Kwamtogole kula Iddi

Hivi kumbe TZ Eid ni mpaka Monday? Wengine tupo tunajongea kwa majirani kulamba pilo
 
Huu mualiko bado ni valid?

Haki ya nani nakuja kama ni kweli.
Wala sina makuu. Mi sunna tu.
 
Nimechelewa kuuona huu mwaliko,ila ntakuja afta shawwal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…