Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Scorpion alishafungwa?[emoji1] [emoji1]Ukija simu zako acha huko huko masaki kwenu
Asante..Do share yako tutakuwekea tunakupenda sana watu wa uswaz.
Mh Ekibabablo!Sawa. Nitapita hapo kwa sababu mimi nakaa hapa manjunju.
Kesho Idd kuna kigodoro hapa njiani nje kwangu.
Wanakuja mabinti kibao kumwaga radhi na madera yao.
[emoji106]Mpe taarifa Dabby plz asipitwe na madera ya kuchagua.
Daby sio naniliu wako?Sitii neno nyinyi ni waarabu wa Pemba, mwajuana kwa vilemba.
Ahsante sana. Nipo sana. Harakati tu. Weka maanjumat ya kutosha!Nilikumiss sana mkuu karibu
Npo ujiji hapa nielekeze nijeMpe taarifa Dabby plz asipitwe na madera ya kuchagua.
Ivuga nakusalimia tu mimi umemisikaSawa. Nitapita hapo kwa sababu mimi nakaa hapa manjunju.
Kesho Idd kuna kigodoro hapa njiani nje kwangu.
Wanakuja mabinti kibao kumwaga radhi na madera yao.
Slim pole sana mkuu naona umerudiNipo hapa jirani kabisaaa, hapa POPOBAWA TRANSFORMER, weka hapa gugomapu!
Ahsante sana ndg yangu. Nimerudi. Lilikuwa pigo. Pigo kuu.Slim pole sana mkuu naona umerudi
Pole sana Mungu akutie nguvuAhsante sana ndg yangu. Nimerudi. Lilikuwa pigo. Pigo kuu.