Karibuni Lesotho (Maseru) tufanye biashara

Karibuni Lesotho (Maseru) tufanye biashara

Mleta mada maelezo yako mengi hayana ukweli; Textile industry Lesotho iko juu sana na material yao Seshoeshoe ambayo ni traditional; I know wadada wanapenda khanga na vitenge for a change but it cannot be a succesful business. Population ya hapo maseru inakaribia watu laki mbili, mzunguko wa hela ni mdogo watu wengi wanaishi kusubiri mshahara mwisho wa mwezi. hata machangudoa (wanaitwa crocodile) Maseru ni wa kuhesabika; Town hapo kuna Hoteli tatu tu za maana. kazi ambazo zinalipa walau ni Udaktari, Nurse, Waalimu - hasa ukiamua kukaa wilayani (milimani). Kenyans wamejaa wanafanya unesi na ualimu. Wacongo ndio doctors serikalini about 80% kwakuwa nchi ya Lesotho haina medical school wanasomesha watu wao Zimbabwe na south Africa na wengi wakimaliza hawarudi (south Africa inalipa vizuri madoctor ingawa ukilinganisha na Tanzania Lesotho wanalipa vizuri). Pia sio kweli kuwa wenyeji hawapendi kufanya kazi, but Wasotho waliosoma vizuri can easily be employed South Africa kwasababu wanaongea lugha moja upande wote wa jimbo la Free state na pia ni rahisi kujifunza kizulu. Wale wasiosoma Maseru hakuna misheni town wanaenda south africa migodini. But it is a nice city, calm na watu hawana noma na wageni.
Boss nime ku-PM.
 
Safi saana mkuu Ubarikiwe kwa kuweka Ukweli juu ya hili.
Maana hapa kuna watu wanatengeneza kamtandao fulani hivi ka kupiga wenzao kwa style style fulani ya Kolabo
Nikweli mkuu ulosema dunia imechange ss watu tumekuwa washenzi balaa so muhimu tuwe makini kwani wazee wa kazi za kuliza wapo wengi
 
Pesa ipo? Nina ndugu zangu watatunnataka nieatume hapo Lesotho chap!
 
Kazi za Ulinzi,madereva na ile KONGWE zinapatikana kwa wingi hapa. Watu wamejenga bongo wasiliana na wakala wetu Lulu Dar es Salaam 0754559635
Hiyo uliyoita kongwe isiwe kudanga maana pisi za kule zilivo class A,. Hadi kuku wa kienyeji ni pisi kali. Wa huku hawa waliochomwa mikorogo hawez kupata hata mteja wa kuonjesha!
 
Wadau hapo MASERU ni hela tupu maana wenyeji wengi ni wavivu na wamekimbilia South Africa kufanya vibarua kwa hiyo fursa ni wageni wengi wananufaika nazo. Bravo Bro Blessings nimeku-PM tufanye biashara ya UGANGA WA KIENYEJI maana hiyo mijamaa inaamini uchawi sana nataka nije niwakamate huko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji117][emoji117][emoji117]
 
Wadau karibuni tutumie fursa za biashara hapa mjini MASERU
Mimi kama mzee "kifimbo cheza" kabla sijakutia bakora tufahamishe hapa mfereji maringo na kazi kongwe ndio kazi gani Hizi? "la sivyo ni mikwaju tu mda si mrefu. 😁😁😁😁
 
Vip pana mrejesho wowote wa Chaka bovu la Maseru uzuri wa hapo wana viwanda vya kutengeneza viatu vya shule hizi za watoto vingi vinavyouzwa SA vinapatikana hapo ila hakuna kitu hapo bora ubaki zako Tabora tu lolote linaweza kutokea kuliko huko ukaenda kupigwa na baridi la hatari utadhani linataka kuondoka na mbavu...
 
Vip pana mrejesho wowote wa Chaka bovu la Maseru uzuri wa hapo wana viwanda vya kutengeneza viatu vya shule hizi za watoto vingi vinavyouzwa SA vinapatikana hapo ila hakuna kitu hapo bora ubaki zako Tabora tu lolote linaweza kutokea kuliko huko ukaenda kupigwa na baridi la hatari utadhani linataka kuondoka na mbavu...
Lete mterejesho
 
Back
Top Bottom