Muislaam
Senior Member
- Jul 29, 2013
- 129
- 43
Ahaaaaa! "" mchanga chuma"" tenaaa, watu mna misemo!hakuna ishu huko ni Chaka bovu maseru..mchanga wa chuma hapachimbiki kitu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahaaaaa! "" mchanga chuma"" tenaaa, watu mna misemo!hakuna ishu huko ni Chaka bovu maseru..mchanga wa chuma hapachimbiki kitu..
Biashara ya binadamu kaziniKazi za Ulinzi,madereva na ile KONGWE zinapatikana kwa wingi hapa. Watu wamejenga bongo wasiliana na wakala wetu Lulu Dar es Salaam 0754559635
Boss nime ku-PM.Mleta mada maelezo yako mengi hayana ukweli; Textile industry Lesotho iko juu sana na material yao Seshoeshoe ambayo ni traditional; I know wadada wanapenda khanga na vitenge for a change but it cannot be a succesful business. Population ya hapo maseru inakaribia watu laki mbili, mzunguko wa hela ni mdogo watu wengi wanaishi kusubiri mshahara mwisho wa mwezi. hata machangudoa (wanaitwa crocodile) Maseru ni wa kuhesabika; Town hapo kuna Hoteli tatu tu za maana. kazi ambazo zinalipa walau ni Udaktari, Nurse, Waalimu - hasa ukiamua kukaa wilayani (milimani). Kenyans wamejaa wanafanya unesi na ualimu. Wacongo ndio doctors serikalini about 80% kwakuwa nchi ya Lesotho haina medical school wanasomesha watu wao Zimbabwe na south Africa na wengi wakimaliza hawarudi (south Africa inalipa vizuri madoctor ingawa ukilinganisha na Tanzania Lesotho wanalipa vizuri). Pia sio kweli kuwa wenyeji hawapendi kufanya kazi, but Wasotho waliosoma vizuri can easily be employed South Africa kwasababu wanaongea lugha moja upande wote wa jimbo la Free state na pia ni rahisi kujifunza kizulu. Wale wasiosoma Maseru hakuna misheni town wanaenda south africa migodini. But it is a nice city, calm na watu hawana noma na wageni.
Nikweli mkuu ulosema dunia imechange ss watu tumekuwa washenzi balaa so muhimu tuwe makini kwani wazee wa kazi za kuliza wapo wengiSafi saana mkuu Ubarikiwe kwa kuweka Ukweli juu ya hili.
Maana hapa kuna watu wanatengeneza kamtandao fulani hivi ka kupiga wenzao kwa style style fulani ya Kolabo
Hiyo uliyoita kongwe isiwe kudanga maana pisi za kule zilivo class A,. Hadi kuku wa kienyeji ni pisi kali. Wa huku hawa waliochomwa mikorogo hawez kupata hata mteja wa kuonjesha!Kazi za Ulinzi,madereva na ile KONGWE zinapatikana kwa wingi hapa. Watu wamejenga bongo wasiliana na wakala wetu Lulu Dar es Salaam 0754559635
Weka picha yako ukidanga tulinganisheHiyo uliyoita kongwe isiwe kudanga maana pisi za kule zilivo class A,. Hadi kuku wa kienyeji ni pisi kali. Wa huku hawa waliochomwa mikorogo hawez kupata hata mteja wa kuonjesha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji117][emoji117][emoji117]Wadau hapo MASERU ni hela tupu maana wenyeji wengi ni wavivu na wamekimbilia South Africa kufanya vibarua kwa hiyo fursa ni wageni wengi wananufaika nazo. Bravo Bro Blessings nimeku-PM tufanye biashara ya UGANGA WA KIENYEJI maana hiyo mijamaa inaamini uchawi sana nataka nije niwakamate huko
Watu wanapiga hela Maseru hukoUzi wa zamani huu! Natamani feedback
Mimi kama mzee "kifimbo cheza" kabla sijakutia bakora tufahamishe hapa mfereji maringo na kazi kongwe ndio kazi gani Hizi? "la sivyo ni mikwaju tu mda si mrefu. 😁😁😁😁Wadau karibuni tutumie fursa za biashara hapa mjini MASERU
😄😄😄Mimi kama mzee "kifimbo cheza" kabla sijakutia bakora tufahamishe hapa mfereji maringo na kazi kongwe ndio kazi gani Hizi? "la sivyo ni mikwaju tu mda si mrefu. 😁😁😁😁
Lete mterejeshoVip pana mrejesho wowote wa Chaka bovu la Maseru uzuri wa hapo wana viwanda vya kutengeneza viatu vya shule hizi za watoto vingi vinavyouzwa SA vinapatikana hapo ila hakuna kitu hapo bora ubaki zako Tabora tu lolote linaweza kutokea kuliko huko ukaenda kupigwa na baridi la hatari utadhani linataka kuondoka na mbavu...
Mrejesho upi mkuu mimi naenda SA karibu mara mbili kwa mwezi..Lete mterejesho
PoaMrejesho upi mkuu mimi naenda SA karibu mara mbili kwa mwezi..