[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] dah.Darasa la Saba mna Dharau sana Naongea nyie mmeweka Mifuko Mkononi.....Mwl wangu mmoja hivi.
Agali ya jaliHii michapio naikumbuka tangu nikiwa Chuo Kikuu na mingine imepigwa hivi karibuni.
Mbezi Mbichi - Mbezi Beach
Mambusho - Makumbusho
Twanga Pepepa - Twanga Pepeta
Kwato - Kwaito
Elfu Mbali - Elfu Mbili
YouChube - YouTube
Housing ya Miwani - Fremu ya Miwani
January Makwamba - January Makamba
Wema Shepetu - Wema Sepetu
Samba na Yanga - Simba na Yanga
Agari ya jali - Ajali ya Gari
Shuti - Suti
Maza Hauti - Mother House
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Unanikumbusha mwalimu wetu alitukana class sasa ile tumemmind akasema "SAMAHANINI ULIMI HAUNA MFAPA" asee tulicheka basi akajitetea tena "JAMANI NIMECHAPIA KITOJO" [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]chips kaki na mishkavu minne
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Darasa la Saba mna Dharau sana Naongea nyie mmeweka Mifuko Mkononi.....Mwl wangu mmoja hivi.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Adani yupo ndamu___adamu yupo ndani....
Bi MKUBWA alitishaaNiletee maji kwenye kabuli (Bakuli)
Hii alichapia mama yangu tulicheka mpaka basi